Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Uchaguzi ndio huo unakuja, what could be behind that motive ya hili zoezi mpaka Mkuu wa kaya analishupalia? tena kweli kweli! Kama nchi hii isingelikuwa nchi ya manyang'au nisingelikwenda mbali kote huko! Upinzani kuwezi macho!
Acha ushamba haya mambo siyo mageni, labda kwako! Mhalifu atavaa gloves kama kushika kitasa etc! Ni sawa na kuweka vipande vya chupa kwenye top ya ukuta, mwizi anaweka gunia anapanda!
Wewe vipi? Line iliyosajiliwa kwa Alama za vidole inahusianaje na ulichokiandika? Wee utakuwa mbugia ugoro!Acha ushamba haya mambo siyo mageni, labda kwako! Mhalifu atavaa gloves kama kushika kitasa etc! Ni sawa na kuweka vipande vya chupa kwenye top ya ukuta, mwizi anaweka gunia anapanda!
Kwani kujulikana kwa taarifa ndo gerentii ya kupatikana kwa muhusika?Fanya uhalifu na simu iliyosajiliwa kwa alama za vidole uone! Simu yako itaunganishwa na kitambulisho cha NIDA hakuna kanjanja tena!
Ila cha kusikitisha watu wamesajiliana kitambulisho cha NIDA kimoja kimesajili zaid ya line za watu 7 tofautiFanya uhalifu na simu iliyosajiliwa kwa alama za vidole uone!
Ila cha kusikitisha watu wamesajiliana kitambulisho cha NIDA kimoja kimesajili zaid ya line za watu 7 tofauti
Kwetu watu wa aina hii tunawaita ujinga kujua!yaani linajifanya linajua kumbe bwege akili tu
Mkuu hapo kwenye bold ni kweli ilikuwa imeandikwa lazima hivyo?kutuma maombi yao kwa email kwa kutumia laptop.