evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Ndugai anapokea vimemo kutoka ikulu na kuvifanyia kazi ndiyomaana mchango wake umetambulika.Kwa tija ipi kwa taifa ambayo ndungai katengeneza kuzidi watu kibao waliomtangulia wakina pius Msekwa Na Samwel Sitta basi mimi napendekeza apewe Kibajaji ilo jina la soko maana ni zaidi ya Tyson Ndungai.
Ndugai ndiyo mtu pekee anafanya manunuzi hapo sokoni?Wewe ita hivyo......lakini lile ni Soko kuu la Ndugai!
nyerere airport anaitumia nyerere peke ake hata mi naonaNdugai ndiyo mtu pekee anafanya manunuzi hapo sokoni?
Hahahaaaaa..........safi sana!nyerere airport anaitumia nyerere peke ake hata mi naona
Taifa lipi?Wazo zur,i Ndugai ametoa mchango mkubwa kwa Taifa
Kwa tija ipi kwa taifa ambayo ndungai katengeneza kuzidi watu kibao waliomtangulia wakina pius Msekwa Na Samwel Sitta basi mimi napendekeza apewe Kibajaji ilo jina la soko maana ni zaidi ya Tyson Ndungai.
Taifa lipi?
Hakuna shida, kuna barabara ilikuwa inaitwa Ocean Road sasa inaitwa Barack Obama drive who knows miaka 10 ijayo itaitwaje.
Na jinsi litakavyokuja kuwa chafu ni wazo jema kabisa likiitwa hivyo, yaani 'Soko Kuu la Ndugai'.Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Kuna mambo makubwa yanakuja Dodoma zaidi ya hilo soko watapewa tuKwanini asingepedekeza liitwe soko la malecela??
Ndugai na malecela nani zaidi
Kwasababu ni taifa la wajinga anything is possibleRais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Mambo mengine ukiyasikia yanatia kinyaa