Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Jamani/ Faru Ndugai, Soko la Ndugai, Mwisho Nyoka Ndugai nk.
Tuwaenzi na hawa akina mama. Mama Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mama Fatuma Karume nk.
Kina ndugai tuwaache wana yao ambayo wengine wanao ukakasi.
Ametoa mchango mkubwa kwa taifa ikiwa pamoja na kumtumbua Tundu Lissu ni vizuri apewe heshima zaidi ya soko, hivyo ni vizuri ikulu ikapewa jina lake.Wazo zur,i Ndugai ametoa mchango mkubwa kwa Taifa
Huyu mzee tangia aweke mic sikioni huku akisema "Harooo unanisikia" Akili zimezidi ku-zygomycomyphatta. Sasa Ndugai kafanya nini zaidi ya kulidhalilisha bunge na kulishushia heshima?Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
What a loss!Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Inatosha tu kuitwa soko kuu la Dodoma
[]
Unampangia?
,kumvua lisu ubunge si jambo dogo,kupambana na CAG,mpaka kaachia ngazi sio jambo dogo,kwa kweli jiji lote liitwe jiji la ndugaiKwa tija ipi kwa taifa ambayo ndungai katengeneza kuzidi watu kibao waliomtangulia wakina pius Msekwa Na Samwel Sitta basi mimi napendekeza apewe Kibajaji ilo jina la soko maana ni zaidi ya Tyson Ndungai.
Naunga mkono hojaMimi napendekeza liitwe soko la nabii tito
Sio kwamba kapendekeza bali katoa amriRais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC