Hii ni rushwa kama rushwa ya ngono. Haiwezekani mhimili unaofanya kazi ya Oversight uhongwe vitu vidogo vidogo na mhimili unaofanya kazi za kiutendaji. Hapo hoja yoyote mbaya Sab-woofer lazima ataizima kulinda hiyo hongo aliyoahidiwa.Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Ni kuleta tu mikosi sokoni,hilo soko litaungua tu likipewa hilo jina
Litaungua sana. Labda waje walifanyie ibada maalum ya toba na utakaso, ndipo laana itaondoka.Maneno huumba
Chunga sana ulimi wako
Umeona eeehLitaungua sana. Labda waje walifanyie ibada maalum ya toba na utakaso, ndipo laana itaondoka.
Kwani hujawahi kusikia uwanja wa alhasani mwinyi? Barabara ya alhasani mwinyi? Muwe mnafuatilia mambo jamaniMbona Mwinyi hapewi kitu
Hili soko litakuaje .?
NimekuelewaHakuna shida, kuna barabara ilikuwa inaitwa Ocean Road sasa inaitwa Barack Obama drive who knows miaka 10 ijayo itaitwaje.
hakika nimekubaliana na wewe.Nimekuelewa