Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mkuu ninavyofahamu UDART kulikuwemo share za serikali kupitia Dar City Council.masopakyindi ya nini kujishushia hadhi namna hii! Udart ni mali ya umma?
Alaumiwe refa, alishindwa kuumudu mchezo.
Aadhibiwe TFF kwa kuweka waamuzi kimahaba.
Wakitwishwa mzigo huu nyekundu wataiita nyekundu, na njano wataiita njano.
Bila hivyo kila derby watapanga yao huku wakijua kabisa YANGA ZOLFALHALI, mbeleko pekee ndio itawasaidia.
Anyway mambo ya watani humalizwa kiutani zaidi.Mkuu ninavyofahamu UDART kulikuwemo share za serikali kupitia Dar City Council.
UPDATE
Serikali kuu bado ina shares kwenye UDART.
DAR ES SALAAM City Council's (DCC) ownership in Usafiri Dar es Salaam (UDA) has officially ceased following Simon Group's payment for the 51 per cent shares in the company.
Treasury Registrar (TR) Lawrence Mafuru told journalists in the city yesterday that reports from the city council indicate that DCC has received the money and certified the transaction.
"The legitimate owners of UDA are now the government (49 per cent) and Simon Group (51 per cent)," said Mr Mafuru, noting that the DCC no longer owns shares in the transport company.
Lakini kwa hali yoyote ile, mtu mwenye akili timamu na hajawahi pelekwa Mirembe, ataharibu vipi mindombinu kwa makusudi?
That's criminal.
Tena wanyimwe kabisa ili watengeneze viwanja vyao ili wakapate kuvunja kila watakachoona kinafaa kuvunja..ni kweli serikali ndo inawaharibu sawa na mzazi anayelidekeza Toto la kiume la miaka 30 linakaa nyumbani na Dada zake
Acha kubishana na MTU asiejua mpira kila kitu anajifanya anajua.... Uwanja Wa Olympic Elizabeth stadium ambao kwa sasa umekodishwa na timu ya westham pale London umekaa kitambo bila kuchezewa mechi na bado upo vizuri ...
Kwani uwanja kama ule wa Wembley unatumuka mara ngapi.....? Au unamaanisha kuhost Cup finals & Mechi za The three Lions inatosha....?
By the way! Nani amekuambia kuwa Timu pekee hapa Tanzania ni Simba na Yanga?
Inamaana wakina JKT Ruvu na African Lyon hazina uwezo wa kufanya matumizi ya kile kiwanja...?
Eisshhhhhh!