Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Mheshimiwa Rais Magufuli ambaye anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa viongozi raia wa Kenya wanapenda sana kumuona.
Kwa kipindi cha miaka 2 ya utawala wake nchini Tanzania wakenya wengi sana wamependa sana jinsi anavyopambana na Ufisadi.
Rais Uhuru Kenyatta majuzi alianza kufanya kazi kwa mtindo alioanza nao Rais Magufuli kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu mpaka Wizara ya Fedha . Changamoto kubwa kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka huu ilikuwa Ufisadi.