wakenya wanamsubiri nani kwa hamu? Pwahahahaha...hivi unajua ni marais wangapi watakua kwa hafla ile ama una kurupuka tu? pia watakuja marais wa dunia kama vile Netanyahu, rais wa israel na hata naskia rais wa Ujerumani amealikwa...sasa magu ndo nani bana?πππ pengine nikukosoe basi, Uncle Magu anatarajiwa Nairobi... sio kungojewa kwa hamu.anasubiriwa kama tu marais wengine walioalikwa..mambo ya hamu na ghamu utakuwa ni uongo mtupu kwani aje ama asije hamna nuksi...pengine ingekuwa ni Obama anakuja...hapo najua kungekuwa na hamu sana...Kagame, Museveni na kadhalika wanatarajiwa tu kama vile Magu...