Tena asivae barakoa ili kumuenzi mdogo wakeAende kuzika
Sitashiriki maombolezo ya Nkurunzinza , naogopa kumkufuru Mungu
Naunga mkono hoja...Sitashiriki maombolezo ya Nkurunzinza , naogopa kumkufuru Mungu
Kuna laana zingine ni za kujitakia, Kushiriki kwa njia yoyote ile kwenye huu msiba wa Nkurunzinza lazima ulaaniwe upende usipende.Sitashiriki maombolezo ya Nkurunzinza , naogopa kumkufuru Mungu
I see! noma na nusuAomboleze na Janeti wake
Kwani kuwa na ndugu mhutu ni dhambi?
Haaa haaa tukianza kuulizana asili nazani robo ndiyo unaweza kuta ndiyo wanabaki lakini wengine wote ni mizigo kichwaniUndugu na nusu mlingoti wapi na wapi!
Hatuna uhusiano nao wa kutufanya tuumie juu ya msiba wao mpaka kupeperusha bendera nusu mlingoti.
Hope siyo kweli aisee
Rais Kikwete alimsaidia saana Piere alipojaribu kupinduliwa.....bila Tanzania Pierre alikuwa amesha left
Pia Macommando wa TZ pamoja na akina huyu ndeminishimaye walisaidia sana..alikuwa ameshapigwa chini
Tweeter na FB sio reliable sourcesHii taarifa nimeiona twitter ila nashindwa kuamini kama ni ya kweli.
Huko Burundi watu wengi wamegoma kuomboleza na Sasa wanawalazimisha kwa kuwakamata wale wanaopiga muziki wa kawaida. Wanalazimisha wapige muziki wa maombolezo.Hatuna uhusiano nao wa kutufanya tuumie juu ya msiba wao mpaka kupeperusha bendera nusu mlingoti.
Hope siyo kweli aisee