Atakayempigia kura Joni ni fyatu pekee.
Wanufaika wa mfumo hawazidi hata mia mbili.
Kwa makadirio ya haraka, tukijumlisha wanufaika wa mfumo na wajinga wanaotegemewa na ccm, wote kwa pamoja hawazidi milioni mbili (ambao wanatarajiwa kupiga kura).
Vijana, wahitimu, watumishi, wafanyabiashara, wajasiriamali, hawa wote wana uchu wa kuiadhibu sisiemu na magufuli wake (mgombea wa chakubanga).
Hawa ni kundi kubwa linalofika milioni kumi na kitu (ambao wanatarajiwa kupiga kura).
Hapa bila kutumia migambo na kuzima watsapu, Joni unaangamia.
Sioni kama Joni ana chaguo lingine zaidi ya kuzima watsapu na kutumia migambo wanaoruka ruka hovyo barabarani kana kwamba wako kwenye TV REALITY SHOW ya Anodi shozniga.