johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni kama vile makada wanaondolewa taratibu ili mtafute sababu nyingine!Uchaguzi umekaribia
Lipo ukurasa wa pili!Mbona jina langu halionekani?
Yeye atakuwa msemaji mkuu siku za usoni!Mayala paskali tena hayumo du!
Kwani wewe umo?!Yaani hata hii list bado tu Pascal Mayala hayumo ?? Daaah hawajamtendea haki kwa kweli...usishangae vilaza Kama akina bia yangu na mgonjwa mtambuka wakawemo kwenye teuzi
Paskali anang'ata na kupuliza, inatakiwa upulize tuuuuuYaani hata hii list bado tu Pascal Mayala hayumo ?? Daaah hawajamtendea haki kwa kweli...usishangae vilaza Kama akina bia yangu na mgonjwa mtambuka wakawemo kwenye teuzi
[emoji23][emoji23][emoji23]Paskali anang'ata na kupuliza, inatakiwa upulize tuuuuu
Mi sio kada mkuu...Kwani wewe umo?!
Ni kama mpira tu wote hatuwezi kuwa wachezaji.Mi sio kada mkuu...
Hongereni Mbeya mmepata mkurugenzi mpya!Siku ya kufa nyani miti yote huteleza
Huyo ndiye atakuwa Gerson ajayePaskali anang'ata na kupuliza, inatakiwa upulize tuuuuu