johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ongeza volume hatujasikia vizuri hahahaaaaaaAmewapa? Yeye amelitoa wapi?
Jengo lilikuwa la nani?Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma.
Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo.
Source: Channel ten
Utasikia mengi tu ya maendeleo..Tutasikia mengi awamu hii..
Maendeleo au vichekesho vya bichwa nunduUtasikia mengi tu ya maendeleo..
Kifungu cha 4 cha sheria ya ardhi No 4 kinampa nguvu ya kuwa castodian wa ardhi yote tz...Amewapa? Yeye amelitoa wapi?
Mtayamba sana kwa staili hiiMaendeleo au vichekesho vya bichwa nundu
Mamlaka ya maji safi!Jengo lilikuwa la nani?
Ardhi ni jengo??Kifungu cha 4 cha sheria ya ardhi No 4 kinampa nguvu ya kuwa castodian wa ardhi yote tz...
Tafsiri ya sheria ya ardhi jengo ni sehemu ya ardhiArdhi ni jengo??