Rais Magufuli Azindua Kiwanda cha Matunda Msoga kwa Kikwete

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,142
Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoa wa Pwani na muda mfupi baadaye, atazindua kiwanda cha matunda kwenye Kijiji cha Msoga, alikozaliwa rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete. Mkewe, Mama Kikwete tayari yupo eneo la tukio. tazama live
 
Uzinduzi wa kiwanda cha matunda,kwao Kikwete.Matunda gani?Au lile shamba letu la mananasi?
 
Tunasubiri leo atawamwagia sifa gani ze msoga royal family
 
Kama umeme utakuwa wa kutosha...miradi ya REA ikakamilika ... Tanzania ya viwanda inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…