Rais Magufuli, Dangote, Obama kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Kenyatta

Sidhani kama rais wangu Magufuli ataenda kuhudhuria hiyo sherehe ya kuapishwa. Huwa hafundishwi cha kufanya, tena mkiendelea hivyo ndio kabisa hatajigusa.
Rafiki yake mkubwa kashindwa, halafu yeye aende huko kufanya nini?
 
hehe...ni vizuri wakati mwingine kusema ukweli...kusema mambo yalivyo wazi tu...
 
Sidhani kama rais wangu Magufuli ataenda kuhudhuria hiyo sherehe ya kuapishwa. Huwa hafundishwi cha kufanya, tena mkiendelea hivyo ndio kabisa hatajigusa.
Rafiki yake mkubwa kashindwa, halafu yeye aende huko kufanya nini?
Vipi hivi Magufuli alituma Twitter ya pongezi kwa Kenyatta?
 
Halafu kwa historia ya baba wa Obama ambaye ni msomi marehemu Hussein Obama na connect dots za marehemu Mzee Kenyatta basi hawezi kukanyaga Kenya kwenye kuapishwa Kenyatta jnr. Never ever.
 
Hebu wasimsahau Mange maana ameshiriki kampeni zake ingawa ninajiuliza hasa nikwanini alifikia hatua ile
 
I see u are a realist. That's good coz many people don't live in reality but u do
 
I see u are a realist. That's good coz many people don't live in reality but u do
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…