Faraja vitalis
Member
- Mar 24, 2020
- 44
- 89
Hii sasa hatari. TunakwishaHata kama mods wataufuta huu Uzi kwa ubabe au kwa kukusikiliza lakn,ninawaambia ukweli dar wagonjwa ni wengi na vifo ni vingi, Mimi Niko sekta ya afya niaminini niyasemayo,dar wengi ni wagonjwa na hawajijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hali ikoje kwa sasa?Hata kama mods wataufuta huu Uzi kwa ubabe au kwa kukusikiliza lakn,ninawaambia ukweli dar wagonjwa ni wengi na vifo ni vingi, Mimi Niko sekta ya afya niaminini niyasemayo,dar wengi ni wagonjwa na hawajijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni hawaishi bongoMkuu hali ikoje kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Kamanda upo?Anataka kujiuzuru, nini? Corona siyo mchezo! Jamaa anaogopa corona kuliko ukoma. Kwa nje utamsikia: haka kamafua kama kolona.
Chato tena.
Hamna wakufa hapa Covid "19" hayupo.Mwafwaaaa
Ni vyema ukavua hilo shuka la upumbavu ulilojifunika labda ndio utajua hali halisi ya yanayoendelea nchini!Ni jambo jema sana!
Huu ndio mkutano siyo ule wa Mbowe uliotaka kutuharibia maombi ya kitaifa!
Wewe umeteketea?!Ni vyema ukavua hilo shuka la upumbavu ulilojifunika labda ndio utajua hali halisi ya yanayoendelea nchini!
hali ni mbaya sana, watu wanzidi kuteketea, acha kuandika ujingakila kukicha!
Kwa akili zako unaona umeandika points? tatizo la wa TZ ni ujinga wa wengi!Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ya kujiona umeandika weweKwa akili zako unaona umeandika points? tatizo la wa TZ ni ujinga wa wengi!
Hata siku moja usisubutu kuamini ndimi ya polirician. Never. Wewe fanya kilicho chema kwako ambacho hakivunji sheria ya nchi. Ukiegemea ndimi za kisiasa unadondoka.siwezi kumwamini mwanasiasa
Mwanasiasa akisema sasa hivi ni saa sita mchana usikubali, toka nje ukahakikishe kama kweli jua liko utosiniHata siku moja usisubutu kuamini ndimi ya polirician. Never. Wewe fanya kilicho chema kwako ambacho hakivunji sheria ya nchi. Ukiegemea ndimi za kisiasa unadondoka.
ukisikia 'ngoma' iko chato think twiceNaona mambo yamepamba moto , hata kwenye ofisi Za Serikali wamerudisha mandoo ya kunawia