Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Magufuli nampenda sana rais wangu, kukiwa na corona yeye huwa anajiepusha na misongamano kwa kwenda zake chato kujipa pumziko.Ajabu kidogo, watu wenye ufahamu wamekaa kulalamika kwenye mitandao wakati maelekezo ta WHO yapo na wanaweza kuyapata humu mitandaoni. Vaa maski, epuka misongamano, osha mikono kila wakati, waelezee uwapendao umuhimu wa haya na endelea na maisha.
Fanya kama unavyofanya ukibanwa na haja, sijawahi kusikia mtu anasubiria aambiwe na mwingine tena kimya kimya.Hata siku moja usisubutu kuamini ndimi ya polirician. Never. Wewe fanya kilicho chema kwako ambacho hakivunji sheria ya nchi. Ukiegemea ndimi za kisiasa unadondoka.
Kabisa mkuu. Mimi nilitegemea sisi tunaojifanya wasomi tumeshaelimisha hata ndugu na majirani wavae mask. Yaani mzee baba angeshhtuka watanzania wamevaa mask hasa mijini. Lakini hakuna kitu. Tufanyeje?Fanya kama unavyofanya ukibanwa na haja, sijawahi kusikia mtu anasubiria aambiwe na mwingine tena kimya kimya.
Hahahaha. Mkuu umenena. Yaani hawa watu ni kuwaogopa kama Black Mamba.Mwanasiasa akisema sasa hivi ni saa sita mchana usikubali, toka nje ukahakikishe kama kweli jua liko utosini
Si ndio hapo utamsubiri aje akuambie nenda uwani kajisaidie !Kabisa mkuu. Mimi nilitegemea sisi tunaojifanya wasomi tumeshaelimisha hata ndugu na majirani wavae mask. Yaani mzee baba angeshhtuka watanzania wamevaa mask hasa mijini. Lakini hakuna kitu. Tufanyeje?
kiburi kikamuondoa !Tujiandae kwa Lockdown sasa
Ila Mkewe akabaki.kiburi kikamuondoa !
Hata mke wa Nkurunzinza alibakiIla Mkewe akabaki.
Ni kweli kabisa pongezi zote ziende Kenya kwa jitihada zao za kumbakisha mke wa Nkurunzia.Hata mke wa Nkurunzinza alibaki
Uzuri ni nyie mtakaorudi hapa jukwaani kumnanga Mama wakati ambao mabosi wenu waseme nanyi ndo mtasema.kiburi kikamuondoa !
Nani huyo Prime minister Boris Johnson au nani ambaye corona ilimfanyia hivyo?Corona ilimcheki ikasema hiiiiiiiii
Haa haa ..Mwana mkaidi mpaka yamfike .. πππkiburi kikamuondoa !
Haa haa ..Mwana mkaidi mpaka yamfike .. πππ