Sijui atakua amekusikia?
Kaomba kufutiwa madeni. Ndo ujue Mabeberu hawakwepeki.Kwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako meongoza njia .
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
You are smart.Ni siasa....
Wanshindwa kumanage bei wanaraishisha kirahisi rahisi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshangaa nini?Dettol ni dawa Kwa kusafisha virus aina zote..na imeandikwa kuhusu kusafisha virus wa Corona ..soma vizuri ukinunua..Huku kwetu wanapuliza dawa gani?
Nimeona sehemu wanapuliza dettol kwenye mabus nikashangaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza ni raisi alafu anabeza juhudi za watu kwann tunarais wa namna hii yaan watu walikua wanapiga fumigation yeye hataki alafu anazungumza kwa kejeli why heshimu ata mchango wao hata kama hawakua sahihi alafu anajiona yeye ndio mtaalamu lakn yuko mafichoniKama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..
Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..
Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..
Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...
Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...
Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....
Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...
Watalam wamesema virusi vinaruka hewani Hadi Mita nane au hukusikia?Mask za kushona Ni nzuri tu,as long as Zina layer 2-3, hat kitambaa mafua,ukikunja Mara mbili au tatu kinasaidia,na Ni cheap maana unaweza kufua mda wowote,
Wale virus wanatembea na unyevu sio kwamba wanaruka hewani,
Kama una mask hii labda mtu akukoholee zero distance.
Maambukizi mengi yanakuja hasa kwa kugusa na kujisahau kunawa na ukagusa mdomo pua,regardless uwe unavaa N95 au mask ya kitambaa