Kwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako meongoza njia .
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Alisema selikali imejiandaa kukabiliana na corona kwa nn nchi ya viwanda haiku produce hizo masks....... Kweli Jamaa anatuona mitanzania mipumbavu kabisa...Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..
Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..
Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..
Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...
Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...
Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....
Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...
Usalama wa Taifa wameongezewa mishahara maradufu lolote la mtukufu ni sawaHuyi rais ina maana hata haangalii TV za china?
Huyu rais katoka wapi jamani..
Hivi usalama wa Taifa wanafanya kazi gani wanaona kabisa nchi inaangamizwa na kilaza
Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..
Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..
Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..
Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...
Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...
Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....
Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...
Mkuu Uganda hawana marehemu wa Corona mpaka sasa hivi sababu wametumia njia hii ya kufukiza imeruhusiws hospitalini na watapona wote na utasikia very soon. Tatizo mna chuki binafsi ndo maana mmekaririshwa.Mi ameniacha hoi kuwataka wananchi kujifukiza. Lol. Ndiyo maana nimeamua hiki kipindi cha Covid 19 sitoi maoni yangu, ni kusikiliza watu na kucheka tu.
Huyi rais ina maana hata haangalii TV za china?
Huyu rais katoka wapi jamani..
Hivi usalama wa Taifa wanafanya kazi gani wanaona kabisa nchi inaangamizwa na kilaza
Dah kmmkeRais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
Wataalam sasa watazidi kunyamaza..Hivi hanaga washauri jamani, hadi aibu!
Tufuate ushauri wa wataalamu jinsi ya kujikinga na hivi virus
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini na kauli hizi za ajabuHuyi rais ina maana hata haangalii TV za china?
Huyu rais katoka wapi jamani..
Hivi usalama wa Taifa wanafanya kazi gani wanaona kabisa nchi inaangamizwa na kilaza
Usisahau kumuulizia BAK nae maana kapotea jukwaani,Out of topic,
Mkuu Invisible habari za siku?
Sijaona comment zako muda mrefu, sijui natembelea majukwaa yasiyo sahihi!
Hahahahahaha.achawoga.pigakazi.Kwa masikio yangu, nimeisikiliza hotuba through ayo you tube.
Nimejua ulinzi wangu uko mkononi mwangu.
Hiki kiduka nimeamua kukifunga rasmi, naona kifo kiko mbele kuliko uzima.
Najifungia ndani na wanangu, no way out.
Sent using Jamii Forums mobile app
"...asiyeabudu mabeberu,"Kwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako mwongoza njia .
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA