Utakufa we changanya na zako endelea kuamini kila aminioKwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako mwongoza njia .
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Heri tufe lkn miradi isisimame yaan aache vitu ajali utu never.Sifa atapatia wapiKule China walikuwa wanaua mende? Je, amefanya experiment kama ile ya maganda ya korosho? Huku ni kukwepa majukumu.
Unafiki umewajaaWanaogopa. Ila moyoni sayansi inawasuta.
Mungu atujalie maisha marefu mkuu.Sijambo.
Uzee unapunguza nguvu ya kushinda mitandaoni.
Lipi hilo?Kama taifa tuna janga kubwa sana zaidi ya COVID 19, ila hatujui tu.
So sad..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakifuta madeni Tz haimo, au huko burigi mawasiliano hakuna hajui kabisa kama Tz ni matajiri hivyo hata kwenye mpango wa kukopeshwa haimo???Kaomba kufutiwa madeni. Ndo ujue Mabeberu hawakwepeki.
Za kuambiwa nawe ongeza zako. Kama hizo za kitaalamu ndio nzuri, vaa. Anayeona za kitenge na vitambaa vya suti ndio nzuri, avae. Kulalamika kwa nini jombaa wakati mwenye kufanya maamuzi ni wewe mwenyewe?Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..
Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..
Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..
Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...
Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...
Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....
Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...
Nimesikia speech hata sikuamini, kwelii leo nimeamini jiwe ni kilaza duh. PhD za kugawa
Kwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako mwongoza njia .
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Kama taifa tuna janga kubwa sana zaidi ya COVID 19, ila hatujui tu.
So sad..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haamini tafiti anaamini nini?Jiwe kasoma hadi level ya kuwa mtafiti (PHD)cha ajabu haamini tafti.
Nadhani kuna umuhimu wa kufanya utafti kujua alifikaje fikaje level ya kua mtafiti?
Sent using Jamii Forums mobile app