Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Wasipokuelewa kwa maneno haya basi tena
 
kwangu mimi naona una nia ya kutaka tufike,na unajaribu kumwambia mjomba dereva wetu njia sahihi ya kupita, lakini atakuelewa? maana alishasema hataki ushauri eti!
 
Ungesoma kwanza ndiyo ungelewa nimeandika nini. Sija lenga kwenye uchaguzi bali nimelenga kwenye matatizo ya watu.
Kitu ulichoandika ni zaidi ya kampeni na uchaguzi kama vichwa vya mashabiki wa kisiasa walivyozoea, pia mkuu ukitaka kumficha kitu mswahili weka kwenye maandishi, kama kuna laana, kwa hiyo wanaosisitiza aina hiyo usihofu utakutana nao. All in all big up, that was masterpiece genius
 
Umewahi kufika Kyela Mbeya mkuu? Umefika Makete Njombe?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Asante mkuu, kiasi chake. Tutatafutana tu. Mimi niko kati ya Bongo na Berlin kwa Angela Merkel.

Kama uko huko basi tukutane tarehe 10 mwezi wa 10 2020 Liverkursen kwenye Party ya UTU (Umoja wa Watanzania Ujerumani)
Nenda jukwaani nitafute kwa "Maneno Meier". Tutaonana!
 
kwangu mimi naona una nia ya kutaka tufike,na unajaribu kumwambia mjomba dereva wetu njia sahihi ya kupita, lakini atakuelewa? maana alishasema hataki ushauri eti!
Ndiyo hivyo. Lakini binadam tuna tabia ya kubadilika tukiona reality.
I assume that if he gets another chance to be elected, he will put a lot of emphasis on the projects that will create a lot of jobs for our young people. I am quite optimistic!
 
Walau unatambua Tundu Lissu is an enemy of the state.
Kwa masikitiko yangu makubwa vijana wetu wengi na baadhi ya watumushi wa serikali hawalijui hilo. Vijana wetu wanafikiri Magufuli akiondoka Lissu atawaleta wazungu kwa hiyo mambo yatakuwa bam bam!

Watumishi wa serikali wanadhani ya kwamba zile dhama za kale za wao ku hijack offices na kuzifanya zao na ku demand rushwa kwa kila service watakayo ifanya kwa umma, itarudi tena na kuwa na pesa ndogo za matumizi huku mishahara yao wakiihifazi kwa kujenga nyumba.

Ni mawazo ya kimasikini sana.
 
Kweli ubarikiwe mkuu. Unanipa matumaini.
 
kiu
Asante mkuu na mungu wa mbinguni na mwingi wa rehema akubariki sana.

Ila ningekuomba unielezee makosa ya Statement yangu hiyo ni ipi?
kiukweli makala yako nzuri Sana mpk nikakimbilia juu niangalie ni barafu ama?ila upande wangu ulipoingia kwny uchama hapo nwe mkweli umeniangusha Sana mkuu Ila namini kwa nchi za wenzetu kwa hii makala ungetafutwa utoe mchango sehemu fulan bt kwetu wanahitajika walamba miguu,tunaihitaji revolution kubwa na hasa ccm itakapokaa pembeni kwanza mwingine aoneshe uwezo wake japo kwa term moja
 
Hahahaaa innovation my ass kuwa na account you tube mahela mengi,drone dollar mia kila utakapofanyia kazi kuna dallili hapo,MTU mwenyewe anatamani malaika washuke wafunge internet
 
Makala nzuri sana naamini kama si yeye basi hata wasaidizi wake wataisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…