Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Labda huko Mbeya, lakini Arusha alipokuja Majaliwa uwanja huo huo aliyetumia huyo Lisu ulijaa mara tatu. Sasa sijui atakapo kuja huyo Jiwe sielewi itakuaje?
 
Mimi Mkenya, masuala yenu ya uchaguzi hayanihusu, ila hili andiko nimelisoma na kulitia bookmark nije kulisoma hata mara kumi.
Linapaswa lisomwe na kila mtu bila kuwaza uchama au utaifa, in fact ingekua bora litafsiriwe na kuandikwa kwa lugha itakayowafikia Waafrika wengi.
Hongera sana mleta mada, nondo zimejitosheleza, kuna mengi ya kujifunza humo.
 
Tatizo kubwa tulilonalo kama nchi ni viongozi wetu kudhani kwamba wantambua mahitaji ya wananchi wao bila kujadiliana na wananchi wenyewe. Matokeo yake ndo kama tunavyoona serikali kufanya vitu vya maendeleo lakini mwitikio na mapokeo ya wananchi bado ni hasi.
 
Yaan unapata wapi muda wa kuandika yote haya????
Ungesoma kwanza ndiyo ungelewa nimeandika nini. Sija lenga kwenye uchaguzi bali nimelenga kwenye matatizo ya watu.
Kanda ya Nyasa ni IP?Halafu mkutano wa mbeya ,nilikuwepo walibeba watu kwenye malori kutoka Njombe ,Songwe.Chadema bado sana
 
Marshall plan, Hizi hasira zako ungezielekeza kwenye kampeni kwa kutembea nyumba kwa nyumba ili kumuokoa Lisu na aibu itakayompata hapo oktoba.
 

..ccm wako very efficient ktk kufanya kampeni za uchaguzi.

..angalia jinsi waTz wanavyopendeza kwa nguo za kijani kila wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.

..wakishashinda uchaguzi ni business as usual, watafanya mambo cosmetic hapa na pale, lakini hakuna real change.
 
..kwanza, umeiharibu hoja yako kwa kumtukana TL.

..pili, nadhani hoja yako ungeielekeza kwa waTz wote.

..kuielekeza kwa Jpm peke yake umebagua, wakati waTz tunahitaji umoja zaidi.
Sijamtukana Lissu ila nime mfananisha Lissu na Pimbi kwa matendo yake.

Kama unajua historia ya Pimbi basi sina shaka unajua nini nimemaanisha.

Lissu nimemwita Pimbi kwa Matendo yake aliyowafanyia watanzania. Ametutangaza vibaya sana nje na kutudhalilisha sisi sote ikiwemo, wewe mwenyewe, wazazi wako, babu na bibi zako na kadhalika.

Tanzania nzima yeye ndiye msomi wa sheria peke yake na yeye ndiye anayejua kuzumgumza kiingereza peke yake. Kitu ambacho hajui ni kwamba kuna watu Kiingereza wamezaliwa nacho na sio chake cha kufikiria.

Tukija kwenye maendeleo lugha hata hai matti tena. Mfano China, Ufaransa, ujerumani na kadhalika. Nchi hizi zote zimeendelea na zina lugha zao mbali na kiingereza.
 
Asante sana na ni faraja kubwa sana kwangu kwa kunielewa. Mungu akubariki!
 
Hajakosea sana. Ila hajawasoma watu wake ili kutambua wanataka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…