Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Nilisoma yote kabla ya kukujibu, kushauri wanasiasa wa Tanzania hakuhitaji kutumia akili kufikiria sana kuhusu yanayokuja huko mbeleni. Utaishia kuumia moyo tu, wewe unawaza mambo ya kesho, sisi tunawaza ya jana na leo. Mapendekezo yako kamwe hayatofanyiwa kazi, Das ist Wunschdenken.
 

..I still think ulichofanya siyo sahihi.

..TL ni kiongozi hivyo anastahili heshima yake.

..mimi nadhani mazingira ya jinsi alivyopigwa risasi ndio yameitangaza vibaya Tanzania.

..walioondoa walinzi pale area D ili kupisha magaidi wamuue TL ndiyo wameipaka matope na kuichafua nchi yetu.

..TL amekuwa akiilaumu serikali, na specifically Raisi, Spika, na jeshi la polisi. Binafsi siamini kama kuwalaumu hao ametulaumu mimi na wewe, au ameilaumu nchi.

NB:

..kuhusu lugha, TL amekuja na pendekezo kwamba tuwe na mjadala wa lugha gani itumike kufundisha toka msingi mpaka chuo kikuu. Ila TL inaelekea anapendelea Kiswahili ndiyo kitumike.
 
Ishu aliyoyatangaza Ni uongo au Ni ukweli anzia hapo.Ugomvi wao binafsi usiwaunganishe watz wote.msitafute huruma juu ya matendo yenu mabaya kwa watanzania
 
Yaan unapata wapi muda wa kuandika yote haya????


Kanda ya Nyasa ni IP?Halafu mkutano wa mbeya ,nilikuwepo walibeba watu kwenye malori kutoka Njombe ,Songwe.Chadema bado sana
Hayo ni mambo ya kikampeni ya kiuchaguzi. Nimeangalia zaidi hisia za watu.
 
Sisi si kisiwa Kama tunataka maendeleo hatuwezi jitenga na dunia. Huwezi ukaleta mawazo ya kijima kwenye morden world, Mfano kuenzi ndoto za miaka ya 60 za Nyerere kwa kizazi cha sasa kinachomsoma kwenye history.
 
Ni mtazamo tu.
 
Ni mtazamo tu.

..mambo yangekuwa "mswano" usingeandika mada ndefu kiasi hiki.

..mimi naunga mkono mada yako kwa kiasi kikubwa, tunapotofautiana ni pale ulipotoa matusi kwa TL.

..kwa mfano suala la kuhamia Dodoma mimi niliona huu sio muda wake. Mabilioni tuliyoyatumia kujenga maofisi na majumba ya viongozi Dodoma tungeyawekeza kwenye miradi inayochochea uzalishaji na ajira.
 
Achguliwe tu sina matatizo naye.
Mkuu bandiko lako nimelielewa sana (tukiachana na mrengo wako wa kisiasa) hasa ulipogusa Human capital na 4th industrial revolution. Hizo routes za kusambaza gesi n.k kwakweli wewe ni great thinker ingawa ni 10% tu watasoma huu uzi.

Ningeshauri uandae pdf kabisa au utengeneze seminal paper kabisa itakua rejea nzuri kwenye mijadala ya kiuchumi.
 
Huu uzi ni mwanana. Je, wana CCM watakuelewa? Kwanza upeo wa kuelewa ni mfupi na wamezoea kukaririshwa, pili wamelewa sifa, tatu hawna uzoefu na uelewa wa falsafa (theories) mbalimbali za maendeleo, na mwisho hawaamini kuwa maendeleo ni kwa ajili ya watu.
 
Excellent! Tuko pamoja. Ndiyo kiini cha maada yangu. Asante sana
 
Asante sana. Nitalifanyia kazi. Ubarikiwe sana.
 
Ishu aliyoyatangaza Ni uongo au Ni ukweli anzia hapo.Ugomvi wao binafsi usiwaunganishe watz wote.msitafute huruma juu ya matendo yenu mabaya kwa watz
Naomba nifaganulie kidogo. Sijabkupata sawa sawa. Nitarudi tena.
 
Subiri Magufuli afike huko kwanza mleta mada ndio uongee

Nyinyi Mlifanya uzinduzi wa kanda toka mikoa kibao na majimbo kibao ya uchaguzi ya kanda ya Chadema yalikusanyika sehemu moja ya mbeya na Arusha subiriniaje Jimbo is mbeya Mjini tu n.a. Arusha mjini tu muone mziki wake ndio mje kulia lia hapa

Mnazindua kanda mnaleta watu toka majimbo yote kibao ya uchaguzi halafu mnasema Lisu kiboko!! Subirini mikutano ya CCM ya majimbo tu ya Arusha mjini na Mbeya Mjini tu hizo porojo zenu za uzinduzi wa kanda bakini nazo kwanza tuangalie za Jimbo tu la Arusha mjini na Mbeya mjini Magufuli akitua
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Watakujibu wenyewe. Haikuwa lengo la mada yangu. Ni wish ya kutaka tutumie rasilimali zetu ki sawa sawa na sio kwa ajili ya kujingamba kuwa tuna utajiri.
 
Mlete mada umekimbia kueleza uzinduzi kanda ya pwani yenye mikoa ya Dar es salaam na kanda ya Ziwa ambako Magufuli na Samia Suluhu wallifika wakamfunika Lisu kwa mbali umeamua kwenda ambako hawajafika Arusha mjini na Mbeya mjini wanakuja subiri uone ndio ulete hii hoja.stay tuned.
 

Fala wewe, hujaelewa kilichoandikwa unakurupuka kutoa comment. Mtoto si ridhiki wewe. Ni heri usingezaliwa.
 
Sisi si kisiwa Kama tunataka maendeleo hatuwezi jitenga na dunia. Huwezi ukaleta mawazo ya kijima kwenye morden world, Mfano kuenzi ndoto za miaka ya 60 za Nyerere kwa kizazi cha sasa kinachomsoma kwenye history.
Kuto kuwa tegemezi hakumaanishi kuwa sisi hatuwezi shirikiana na mataifa mengine. Kuto kuwa tegemezi ina maana ya kwamba tuna amua vitu vyetu wenyewe vya jufanya na sio kupangiwa vitu vya kufanya.

Kwa mfano kwa mara ya kwanza tuna tumia hela zetu kugharamia uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani wetu bila kutegemea msaada kutoka nje. Hali ambayo itatuwezesha sisi kuamua nani aji kusimamia uchaguzi wetu na nani asije.

Tukiwa tegemezi wahisani ndiyo wanatupangia wao nani wankusimamia uchguzi wetu na kwa conditions zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…