Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Labda huko Mbeya, lakini Arusha alipokuja Majaliwa uwanja huo huo aliyetumia huyo Lisu ulijaa mara tatu. Sasa sijui atakapo kuja huyo Jiwe sielewi itakuaje?
Hata hivyo wako wanao mpenda Lissu na ni wengi pia.
 
Nilitaka kukupa na ushauri, next time ukija na uzi huku jitahidi kuufupisha, hizi "notes" zako unazoleta hapa nani atakaa chini aanze kuzisoma mida hii ya kazi.
Mimi nimemjibu kwa ku base tu kwenye kichwa cha habari sijapooteza muda kusoma hilo documentary naamini kichwa kimebeba kila kitu nimemjibu based na heading tu
 
Unayaamini maneno ya watu wasemao tunajenga miradi kwa pesa zetu huku Deni la taifa linakua
 
Kma nlivyosema 10% pekee mtasoma huu uzi wote kabla ya kucomment. Yaani unachocomment ni opposite kabisa na alichoandika.
 
Kama umenusa kidogo sayansi, basi nakuomba kunifafanulia Law gani ya physics imetumika hapa.

Maana Lissu anadai alipigwa paja la kulia lakini kwenye hii pich inaonyesha matobo yako ubavuni. Na silaha iliyotumika ni AK 47.

Sasa kama unaijua AK 47 basi utajua pia effects zake.
 
Kma nlivyosema 10% pekee mtasoma huu uzi wote kabla ya kucomment. Yaani unachocomment ni opposite kabisa na alichoandika.
Heading inatakiwa kubeba summary ya kilichoandikwa ina maana wewe hata sekondari hukukanyaga ukafunzwa maana ya heading ya what you write mjinga wewe?
 
Unayaamini maneno ya watu wasemao tunajenga miradi kwa pesa zetu huku Deni la taifa linakua
Kuku kwa deni la Taifa wakati maendeleo yanaongezeka sioni kama ni tatizo. Tatizo linakuja tu, endapo mambo yatakuwa vingine
 
Watakuita bavicha
 
Heading inatakiwa kubeba summary ya kilichoandikwa ina maana wewe hata sekondari hukukanyaga ukafunzwa maana ya heading ya what you write mjinga wewe?
Tuchangie hoja kwa kiistaarabu. Sisi wote tumeliona darasa kwa ndani. Au sio?
 
Kivipi mkuu? Mimi naona haki ya kuchagua ipo ndo maana tuna takribani wagombea 14 sasa ulisema raia ananyimwa haki ya kuchagua napata shaka,
Kuwaengua wabunge wa chama kimoja tu eti wale wa ccm wanajua kujaza formu huu Ni utovu wa nidhamu na kuwanyima wananchi haki yao ya kumchagua wamtakae. Means form ya tume Ni ngumu kujaza kuliko mitihani.
Inatia shaka kwa sababu Ni upande mmoja tu ndo wameenguliwa.
Au ndo Yale ya form za ccm zilijazwa na tume.
 
Tuchangie hoja kwa kiistaarabu. Sisi wote tumeliona darasa kwa ndani. Au sio?
Mimi naangalia heading tu hayo yako kama haya match ya ulichoandika go back to school kajifunze ku match heading na kilichomo ndani sisomi hicho cha ndani na sina mpango heading imenitosha kukujibu ya ndani soma mwenyewe
 
Mimi naangalia heading tu hayo yako kama haya match ya ulichoandika go back to school kajifunze ku match heading na kilichomo ndani sisomi hicho cha ndani na sina mpango heading imenitosha kukujibu ya ndani soma mwenyewe
Kama hukukisoma kilichomo ndani, sasa unapa wapi uthubutu wa kumwattack mwingine kwa kile usicho kielewa?

Strange!
 

..hii hoja imejibiwa mara nyingi.

..TL ameumia sehemu nyingi za mwili wake.

..ametolewa risasi tumboni, miguuni, mikononi, kwenye nyonga, maeneo mengi ya mwili wake.

..ni kweli ameumia zaidi mguu wa kulia kuliko mguu wa kushoto. nadhani hiyo siyo hoja ya wapi risasi zilitokea. hoja ya risasi zilipiga kiungo gani wakati zinamuingia TL.

..Risasi iliyopiga mfupa, itakuumiza kuliko risasi iliyopiga msuli. Na mara nyingi mfupa mkubwa ni mgumu kupona kuliko mfupa mdogo.

..zaidi, mkono wa kushoto wa TL umeumia zaidi, kuliko mkono wake wa kulia. pia ana risasi ambayo nadhani imeachwa iko karibu na uti wa mgongo au nyonga.

..suala la silaha gani imetumika naamini Polisi wanaweza kujibu. Kama ilitumika Ak-47, Uzi, etc polisi ndio wenye utaalamu zaidi.

NB:

..jambo la msingi kuliko yote ktk kuwabaini magaidi waliomshambulia ni kujiuliza nani aliondoa walinzi wa area D.

..lingine ni hizo cctv ambazo inasemekana zimeondolewa eneo la tukio. cctv zinaweza kukata mzizi wa fitina ktk suala hili.

..la mwisho ni kutenda HAKI. Aliyeshambuliawa hapa ni binadamu mwenzetu, siyo pimbi au mnyama wa porini kama wanavyosema wakina Ndugai.
 
Mkuu Maneno ulipoanza kwa kusifu na kuabudu toka para 1 mpaka para 7 nilianza kufikiria na wewe tena ni wale wale akina Bia Yetu, Kawe Alumn, Mayonjwa Mtambukai na wengine wenye kusifu tu mazuri pasipo kuonyesha kwa uwazi kasoro zilizopo. Ingawaje mada yako ni ndefu lkn umeitendea haki sana kwa kuelezea nini hasa ambacho ungependa Maguli afanye endapo atachaguliwa tena kwa awamu nyingine.

Hii ndiyo akili pana, akili pana hutafuta njia sahihi za kurekebisha kasoro hata kama kuna mazuri yamefanyika. Akili pana hutumia njia ya staha na isiyoudhi ili kufikisha ujumbe wake "in amicable way'

Umegusa matatizo yaliyopo ndani ya makundi tofauti ya kisekta na nini hasa yanapaswa kufanyika ktk makundi haya. Hii sasa inapaswa kuwa eneo lenye kubeba ajenda kuu ya kisiasa ktk kampeni za uchaguzi wa mwaka huu.

Tukifanya jumuisho la jumla ktk mada yako utapata ukweli mmoja tu, ilani ya CCM ya mwaka huu haina jipya lolote lile kwa matumaini ya Watanzania. Imejaa na kukumbatia sera zile zile zenye kuleta njaa, ukosefu wa ajira na udumavu wa uvumbuzi na matumizi ya demokrasia.

Kongole nyingi sana zije kwako Maneno, kwa kutoa hoja nzuri, zilizojaa ukweli, mantiki na zenye kufikirisha. Wana CCM puto hilo limetupwa hewani, kazi iliyobakia kwenu ni kuangalia mwendo wa upepo na pia linakoelekea. Je! Mtaweza kulidaka ama Tundu Lissu kwa huku Tanganyika ama Maalim Seif kwa kule Zanzibar ndio ambao watalidaka?
 
Kama hukukisoma kilichomo ndani, sasa unapa wapi uthubutu wa kumwattack mwingine kwa kile usicho kielewa?

Strange!
Kajifunze kuandika heading itakuwa wewe hata chuo kikuu hukukanyaga ukaandika thesis

Heading inabeba kila kitu in a short form nakuhakikshia wengi hawatasoma ulichoandika watajibu tu basing on heading kama hukusoma hata secondary au hukuelewa masomo ya jinsi ya ku match heading na content yaani kilichko ndani ulichoandika usione aibu go back to school kasome private tuition Ile usifanye mitihani

Narudia sisomi kilichomo ndani soma mwenyewe Hapa jamii forums sio sehemu ya kupeana homework!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…