Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

1. Unaenjoy maisha ya ulaya kwa sababu ya democrasia yao.
2. Anayeishi nje hawezi kuzielewa changamoto za watumishi hapa nyumbani

Elimu yako nzuri uliyonayo haijawahi kukusaidia kufanya utafiti kuelewa kwa nini wengi wa watanzania kwa sasa wapo namna unavyowaona, Kwa kuwa wewe unashiba huko ulaya kwa wenye sera makini juu ya wastaafu, watumishi wa umma na maslahi yao kiasi kwamba hao wazee wanaostaafu hawawi mizigo.

Hawa wa kwetu wanakuwa ni mzigo kwa sisi vijana badala walipwe pesa zao ziwasaidie uzeeni, serikali imetumia fedha zao katika jenzi za madaraja, vijana mishahara yetu midogo isiyotosha bado tugawane na wazee wanaodhulumiwa na mifuko iliyofilisiwa na serikali.

Kwa kuwa hujafanya utafiti kamwe hutauelewa ushenzi ulioubeba kwa mujibu wa madai yangu.

Sina muda wa kukujibu tena, endelea kuinvest elimu yako ulaya huna haja ya kutupigia kelele kodi yako iko ulaya, binafsi na wenzangu kodi zetu ziko hapa nchini na tunanyanyaswa na Rais Magufuli
 
Poleni sana kwa matatizo mnayo yapata kwa kubeba mzigo wa kuwasuppport wazee wenu wanao kosa Pension zao pindi wanapo fikia umri wa kustaafu. Nami ninawaelewa vizuri sana ila nyie kwa kukosa hekima mnashindwa kwa upande mwingine kunielewa mimi.

Naomba tukubaliane kitu kimoja, kama nyie mnadai kuwa usomi wangu haujanisaidia mimi kitu chochote, kutambua matatizo yaliyopo hapa nyumbani basi na nyie mwelewe kuwa hamjui chochote kuhusu wazungu na matatizo yaliyoko kwao.

Mimi kwenye ulimwengu huu wa wazungu hata nifanye nini na hata nitajirike namna gani nitabaki kuwa sokwe tu.

Mtamchukia Magufuli na mtanitukana mimi, lakini ukweli utabaki pale pale mbele ya wazungu sokwe yeyote yule ambaye yuko kama mimi kwao atabaki kuwa sokwe tu, believe me!

Sijui nani anawajaza nyie ujinga kuhusu demokrasia! Kama mngejua maana ya demokrasia wanayo maanisha kwao na ile wanayo ileta kwetu kuwa ni vitu viwili tofauti, nafikiri povu lako kwangu na kwa Rais wetu lisinge kuwa hivyo my brother. Belive me!

Wazungu wana demokrasia ya kwenye kupiga kura na kumchagua Rais au chama wanacho kitaka, sawa, lakini kiuhalisia vyama na marais wao wote wana principle moja tu ya ku-serve masters wao.

Masters wao ni akina nani? Hapo sasa jaribu kufunguka macho. Masters wao ni matajiri wakubwa, capitalists. Watu wote tunao waita Mabillionaire kama akina Warren Buffett, Bill Gates na wengineo tuliozoea kuwasifu na kuyaimba majina yao kila siku ya Mungu, diyo masters wao.

Matajiri wenye makampuni makubwa kama Google, Amazon, Ma-CEO na Share holders wakubwa wa makampuni makubwa na mabank kama Deutsche Bank, JP Morgan na kadhalika ndiyo Masters wa politicians.

Haya makampuni na Investors wakubwa mnao wasikia hawalipi kodi, kodi inalipwa na watumwa kama sisi tunao henyeka.

Ningetamani nikueleze mengi, lakini nasikktika huta nielewa hata mara moja kwa sababu unafikiri wazungu wana maisha mazuri kulilo sisi huku.

Kitu ambacho ninaweza kukugarantii ni kwamba Amerika au Ulaya kufa njaa sio rahisi kama huku kwetu. System ambazo wamejiwekea zina saidia watu wao wasife njaa. Lakini hata hivyo hiyo haisaidii eti watu wa kawaida wasisafe.

Msiwaone wazungu tu hivyo mkadhani wana raha tupu. Wazungu wengi wanashida sana. Wamekuwa makuli wa kuwa neemesha mabepari wao. Wanasiasa wao wamekuwa vibaraka wa mabepari. Wafanya kazi wana henyeka sana kiasi ambacho wengi wanaishi kwa nguvuza drugs na ma Valium. Najua hutanielewa. Any way, sio kitu.

Wazungu wengi kwenye nchi kama ya Ujerumani wanaishi, wenyewe wana msemo wao "Auf Pump leben" yaani nje unawaona wana maisha ya kawaida na mazuri, lakini kiuhalisia wanaishi maisha ambayo kulingana na uwezo wao, sio maisha ya kweli. Wana madeni kibao. Kuanzia nyumba, gari mpaka furnichers kwa mfano, wamechukua credit.

Ulaya kidogo wana nafuu kuliko Amerika. Amerika ndiyo awesome! Wana madeni mpaka wananuka choo! Nyie waoneni tu hivyo.

Kuhusu kazi, niwaambie ukweli, kinachoendelea hivi sasa Europe ni kwamba kazi nyingi ambazo ziko ni za uyaya au kazi za kuwapangusa mavi wazee na kwenye maghala ya logistic Centers na maduka ya Discounters.

Kazi nyingi za maana zime hamishiwa Asia kwa sababu ya cheap labor. Kwenye sector ambayo nilikuwa nafanya kwa mfano, ya Design engineering ni wajerumani wachache sana wako kazini, positions nyingi mabepari wamezipeleka Asia na East Europe.

Ningekueleza mengi, lakini nasikitika huta nielewa na sijui nikusidie vipi ili uweze nielewa.

Najua mnanitukana na kunijia mbogo kwa sababu tu ya kumsifu Magufuli, lakini lait mngejua nini kinaendelea ulimwenguni hivi sasa, sidhani kama mge behave namna hiyo dhidi yangu.

Wazungu wengi hivi sasa macho yao yote wameyatupia Tanzania kwa sbabu Rais wetu, Simba wa Afrika, yuko katika harakati ya kuwaamsha waafrika ambao wamelaa usingizi mzito bado. Kwa hali hiyo usifikiri kuwa wako happy. Hawawezi mpenda hata mara moja.

Ndiyo maana mnawaona watu wengi hivi sasa wanaotumiwa na wazungu na mabepari wengine wa kutoka Dubai, Oman na kwingine na ni ndugu zetu actually, kama akina Lissu, Zitto, Membe, Malim Sef na kadhalika wanavyo hangaika usiku na mchana kumng'oa Rais Magufuli madarakani.

Na wengine kama Membe hata wanadiriki kusimamisha kampeni kwenda Dubai kuchukua mawaidha mapya nini cha kufanya ili kufanikisha deal lao la kumng'oa Magufuli.

Watanzania nawasii muwe makini sana na watu mnao wachagua 2020 kuwa Viongozi wenu. Tulinusurika mwaka 2015, mkifanya makosa hivi sasa mtakuja jijutia.

Nchi zote zilizo adhimia kuingiza demokrasia ambayo mabeberu wamekusudia, nchi hizo zote zimeangamia. Hata warusi walijaribu, wakashindwa. Wamshukuru Putin amewaokoa. Nchi nyingine sina haja ya kuzitaja nafikri zinaeleweka.

Nitukaneni mtakavyo taka, lakini mjue kitu kimoja, makosa yenu mtakayo yafanya, hayo matatizo yenu mtayaona si kitu. Mtakuja kumkumbuka na kumlilia Magufuli kama walibya Gadafi.
 
Ukosefu wa ajira unajitokeza katika sura tofautitofauti mpaka watu wanatumia mbinu mbalimbali kupata uteuzi ambao havipatikani. Huyu bwana inawezekana alikaa Ulaya muda mrefu kama anavyodai lakini inatia mashaka kama kweli alikuwa anasoma na alimaliza masomo yake kwa sababu mambo anayojaribu kuelezea siyo ya kisomi. Mbongo au Mwafrika yeyote anayekwenda kusoma Ulaya anakwenda kusoma Chuo Kikuu lakini huyu mwenzetu huku kwetu tungesema anazungumza mambo ya kijiweni ambayo huwa hayana ukweli wala Ulaya hawana vijiwe. Miaka anayosema aliishi Ulaya hapa kwetu elimu ilikuwa imeshaanza kushuka kwa hiyo wanafunzi aliokwenda kusoma huko walioshindwa kumudu masomo na kuingia mitaani kufanya kazi za kibarua kujikimu. Wakiwa wanafanya hizo kazi, huku nyumbani kila mtu anajua fulani au mtoto wa fulani yuko Ulaya anasoma Chuo Kikuu kumbe anafanya kazi ya kusafisha vyoo. Kazi hiyo haipendi lakini lazima afanye ili aishi na nyumbani hawezi kurudi kwa sababu hana Cheti cha kumaliza Chuo Kikuu kwa hiyo hata huku hawezi kupata kazi. Mambo yakimzidi huko Ulaya anatia moyo konde anarudi Bongo na kujiunga na praise team kuvizia uteuzi maana hakuna namna nyingine. Good luck!
 
Umeongea vitu vingi na mrefu, lakini
Vingi ulivyoongelea ndio JPM anavifanyaa, e.g.
Sgr na mambo ya umeme ndio yatawezesha uwepo wa hivyo viwanda vya vyuma na mambo ya kilimo kikubwa kitakuwa na matokeo chanya kwa kuwepo hizo barabara nzuri za kuyahamisha toka sehemu moja kwenda nyingine ikiwa supported na kuwepo na umeme wa kutosha ku support other industries. Hata umeongelea mambo ya Trains za mjini zilishawahi kuongelewa b4,lakini hata implementations za mwendokasi au hizo njia zake baadae zinaweza kutumika kwa ajili hiyo.
Huko Mtwara route ya Mtwara mbambabay ipo tayari kwenye plan .
The only problem maybe ni speed ya utekelezaji wa hiyo sgr.
Lakini mind U alivyo ingia alikuwa na challenges nyingi , za kuziba matundu, ukusanyaji wa kodi, vitambulisho vya taifa , ku review mikataba ya chuma Kigango na madini mengine, wafanyakazi hewa n.k
So don't jump the gun
ut th done
 
Kuna mtu ambaye anaweza kutuandikia mustakhabali?
Namsifia aliueandika kwa kujitolea kutoa mawazo ya nini cha kufanya.
Sijaisoma yote ndefu mno.
 

Hivi wewe ni raia wa nchi gani? Una Kiswahili kibovu. Hukimudu vizuri na unaboronga sana
 

Foam jingi na kali sana. Kwani unateseka?
 
Well nimeisoma yote, umeandika mengi. Mimi naomba nifafanue nini tatizo la kilimo Tanzania
1. Siyo vyote vinavyovunwa vinafika sokoni. Hatuna utaratibu wa kumsaidia mkulima apate soko.
2. 40% mpaka 60% ya mazao Tanzania haswa matunda yanaharibika. Hizi data nilipewa na specialist wa kilimo.
3. Wafugaji ni watoto yatima. Serikali ikiongelea kilimo inasahau wafugaji. Hawalindwi wamasai hawajapewa ardhi. Ndo maana wakulima na wafugaji vita kila siku. Pastorilsm is the fastest root to poverty.
4. Ardhi ya nchi zima haijapimwa. Marekani haswa texas walipima viwanja kwa mraba. Ni rahisi kujua wapi shamba la nani, ukubwa gani kalima nini.
5.huwezi uza chakula soko la kimataifa kama hauna tracking system ya hicho chakula kimetoka wapi. Mfano kulipokuwa na mad cow disease wazungu walijua umeanzia shamba gani.
6. Watanzania wengi walikata tamaa na kilimo. Kama Lissu alivyosema, wakulima ndio maskini wa nchi. Kukiwa na hela wengi watajiunga.
7. Ardhi yenye rutuba imeshikiliwa na viongozi wachahce wa ccm.tunawasema wakenya nenda kilombero uone nani anamiliki ardhi.
K
 
Na mm ndio nataka iwe hivyo tuone nani atapata,kwa mfano mm sio msukuma siwezi jitia kiherehere kuchagua mgombea wa wasukuma,,natamani iwe hvyo ili tuone kabila moja au kanda moja vs zote zilizosalia
Hiyo ndio strategy or wish ya saccos baada ya kuona mambo hayaendi Ile kwa kutumia divide and rule.
 
Mimi nadhani nina allergy na magufuli,kwa mfano nikitafuta barabara alizojenga magufuli kiasi cha kusifiwa sana kwamba amefanya makubwa mbona sizioni.Hii barabara ya Dar Tunduma,JK aliijenga tena hadi igawa,Toka igawa hadi mbeya barabara inaviraka na Mashimo usipime but miaka 5 down the line ipo vile vile,barabara yammikumi ifakara hadi songea,ukiacha vipande vilivyojengwa na mkapa na JK barabara ingekuwa mbaya mara dufu.barabara ya Tabora kigoma,na kagera kigoma zote zipo pale alipoishia JK.barabara ya Dar chalinze ujenzi wake umeahirishwa na serikali indefinitely, sasa hizo barabara anazosifiwa kujenga zipo nchi hii hii au ni zile kilometers 17 za Kimara kibaha?
 
kama mambo yakienda haki bini haki kama nilivyoyasikia,magu hawezi shinda
 
Uchumi wa kati ambao wastani wa kipato cha mtanzania ni USD 1080.00 yaani shillingi 2,400,000 kwa mwaka sawa na wasitani wa shilingi laki mbili kwa mwezi,Je ukiwa na akili timumu unaweza kufurahia kipato cha laki mbili kwa mwezi?
 
Hujasoma hoja au umesoma hujaelewa kitu.Hoja imekuzidi kimo na upeo.Mwenzako anatoa hoja ww unaleta ushabiki mfu.
 
Kosa kubwa la mtukufu mwenyekiti wa CCM ni unyanyasaji uonevu kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani na sasa kaja na kosa lingine baya la kishetani zaidi eti kuna kitu kinaitwa kupita bila kupingwa kwa njia haramu ni ushetani mpya Hatari zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…