Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Aache kujenga chato akuletee maendeleo ww?
Ajenge chato kwa mshahara wake binafsi siyo kuchukua pesa za viwanda pesa za walipa kodi kwenda kujenga huko kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
Hivi Kuna mtu mwenye akili timamu kweli atachagua mateso tena
Miaka mitano watumishi wa umma wanataabika hakuna nyongeza ya mshahara hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipenda CCM
 
CCM bila fiestaccm hawana watu, kinachojaza watu kwenye mikutano ya CCM ni wale wasanii tu, watu wanafuata burudani za wasanini tu, CCM bila wasanii jukwaani ni weupe mno
 
Serikali hii yako tokea chato imekopa sana kwenye mabenk Duniani inaomba omba misaada mno ni omba omba zaidi licha ya kujinadi inatumia pesa za ndani kuleta maendeleo kidogo yenye ufisadi mkubwa na 10% za wajanja wachache huko CCM, hakuna unafuu CCM ni ile ile Ukoo wa panya
 
Personally, sina tatizo na Headquarters kuhamia DODOMA. Ni vizuri ili kusambaza Fursa za Uchumi ili watu wote wasiwe wanakimbilia DSM.
The same kama walivyoamua kuijenga UDOM pale Dodoma. Ni vzuri.
By the way, Maisha Mazuri (Afya, Ajira, Elimu, Miundombinu, Mikopo na Ujasiriamali etc.) Watanzania wote tunayataka. Na Rais ni wa wote, miundo mbinu & maendeleo yakija pia ni ya wote.
Mwanasiasa yeyote yule cha kwanza ni Maslahi yake Binafsi. Haijalishi aseme "Maneno Matamu" yenye matumaini Kiasi.
Na maendeleo ya nchi, ni mchakato wa muda mrefu. Hakuna maendeleo ya nchi yanayokuja over night yaani tu vaaaap fasta kama Uyoga.
Anyway, wacha niendelee kufatilia ili nione Kura yangu inaenda wapi.
Pia hata Rais awe nani sijui, Bado "resistance" itakuwepo tu. Sababu ni wazi kuwa president yeyote yule hataweza ku-play fair kwa wote na kufurahisha raia wote.
Sometimes kama Rais unatakiwa kufanya Critical Analysis & Economic Forecast na kufanya Maamuzi Magumu hata kama wengi hawataelewa kwa sasa, ila miaka ijayo wataona faida yake

 
Aliyemaliza kusoma hii anaifanyie samari nimpe hela ya vocha

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
CCM inajenga miradi yenye ufisadi mkubwa na bado ina ukatili kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ni tofauti na makaburu ambao walijenga Nchi vizuri kwa usitadi mkubwa pasipo ufisadi licha ya kuwa wakatili kama utawala wa awamu ya tano,utawala wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
😀😀 Sasa ndugu unataka mradi mkubwa wa reli kwa SGR ujengwe kwa Miezi miwili.
Kwa TZ kwa sasa hata Rais angekuwa nani sijui isingewezekana hiyo kuijenga kwa wiki tatu.
SGR hazijakamilika sababu haziwezi kujengwa kwa miezi 6 au mwaka. Hata Barbara za Mwendokasi DSM hazikujengwa hivo kwa wiki nane au mwaka.
 
😀😀😀😀 Hivi unaufahamu vizuri utawala wa Makaburu wa Sauzi?!!
Hebu pitia pitia uufatilie tena.
BE CAREFUL WITH WHAT YOU WISH FOR. Hata haya ya USA ya Polisi kutumia nguvu kubwa kupita kiasi kwa Blacks hayafikii hata kwa 1/8 ya Yale ya Makaburu wa SA (sauzi).
Damn!! Ya Makaburu was much worse.
Au nahisi utakuwa hukuipitia kuifahamu Apartheid Policy ya SA (south Africa) ilikuwaje..
 
Ajenge chato kwa mshahara wake binafsi siyo kuchukua pesa za viwanda pesa za walipa kodi kwenda kujenga huko kienyeji pasipo idhini ya bunge
Bungeni wabunge wengi ni wa chama gani? Je akipeleka Hoja bungeni unataka nambia hazitapitishwa kweli na Bunge? #ThinkTwice
Huhitaji kutumia akili mingi hapo kujua hilo sababu it's no-brainer.

NI KWELI TUNAHITAJI MAISHA MAZURI (afya, elimu, miundombinu, Sera wezeshi kwa biashara na viwanda, Ajira, Mikopo & Ujasiriamali) LAKINI MUHIMU KUTULIZA AKILI KWANZA.
Maana MWANASIASA yeyote yule narudia tena Yeyote yule Lengo Lake Kuu ni MASLAHI YAKE BINAFSI kwanza. Hata kama atazungumza "Maneno Matamu" yenye Matumaini kiasi gani.
Na hata Kiongozi wa Nchi awe nani sijui bado "Resistance" itakuwepo tu.
Hata CCM wakishindwa Uchaguzi na Kutoka Madarakani, bado Maendeleo hayatakuja tu kwa kuchipua vaaap kama Uyoga.
Siasa za Afrika ngumu sana.
 
Duh mkuu huu uzi uanzishwe kwenye mfumo wa kitabu utapiga hela zako
 

Sina tatizo la muda wa kujengwa kwa hiyo SGR, bali hiyo SGR ilikuwa ijengwe kwa mkopo, kisha ijilipe itakapoanza kazi, na sio kuumiza watu bila kutoa ajira kwetu vijana kisa ujenzi wa SGR ili mtawala apate sifa. Ingelikua kuna shida ya usafiri maeneo reli inakopita hapo sawa.
 
"wakimshabikia pimbi wao, kwa kile kitu wanacho amini kuwa ametoka uzunguni basi ataleta mabadiliko wanayo yatamani bila kujua kuwa mzungu ni nyoka wa maisha yao" hapa ndo ulipokosea all in all makala nzuri
 
Mkuu lait ungejua sources za umeme zilivyo na mahesbu yake nafikiri usinge uliza swali kama hili na hasa ukizingatia usomi wako unaojaribu kuuuza kwetu, ni wa shule ya msingi au chuo cha mambo ya economics.

Naomba nikujuze kidogo kuhusu sources za umeme na mlolongo wake. Nafikiri unajua kuwa kuna souerces nyingi ambazo zina weza tumika kutupatia umeme, kama;
makaa ya mawe (coal), gesi yetu asilia (Natural gas), maji (hydro Power), nuclear power, Solar, wind na kadhalika.

Ukiiangalia nchi yetu nadhani utatambua kuwa hii nchi imebarikiwa na mwenyeezi mungu kwa kuwa na rasilimali zote tunazo zihitaji kuzalisha chuma. Makaa ya mawe tunayo, Gesi asilia pia tunayo na Uran nayo ipo sources ambazo tunaweza tukazitumia kuzalisha umeme utakao tumika kwenye kuzalisha products za chuma.

Technology na gharama za kuzalisha umeme ulimwenguni ni very very cheap na primitive. Tukiachana na Solar energy, sources nyingine zote zinahitaji aidha synchronous or asynchronous driven generators ambazo kwa namna moja au nyingine zimeunganishwa na Turbines au engines through a shaft.

Katika turbines unatumia nguvu za maji, mvuke au fuel. Na isitoshe unaweza uka combine Gas turbine na Steam turbine ukawa na G and S combined cycle unit. Yaani ni hivi; Gas turbine ina drive generator na kutoa umeme upande mmoja tuseme umeme wa 20MW na upande mwingine hewa ya joto kali linalo toka kwenye hiyo turbine linapelekwa kwenye Heat exchanger ambayo ina heat maji kuwa mwvuke na huo mvuke unakwenda ku drive Steam turbine ambayo nayo inatoa umeme kupitia generator iliyo unganishwa nayo ya let us say 15MW. Efficiency yake hapa kwenye combined cycle ni 80% to 90% ya total input.

Kwa hiyo naomba niambie, what is so special and unique kwenye teknolojia hii? It is so simple and is very old.

Wewe ni amature katika mambo haya na ni theoretician. Naweza nikakupa somo katika mambo haya ya energy kimahesabu na exergy yake. Sijui kama unajua maana ya exergy nini? Kama hujui basi definitio yake ni hii hapa: Share of energy that is converted into the desired, economically usable form (e.g. electrical energy)

Na kwenye Thermodynamics and natural sciences tunajifunza kuwa;

The law of conservation of energy expresses the fact that energy is a conserved quantity, i.e. that the total energy of a closed system does not change with time. Energy can be converted between different forms of energy, for example from kinetic energy to thermal energy. It can also be transported out of or into a system, but it is not possible to generate or destroy energy.

Nafikiri hapa sasa tutakuwa tumeelewana. Msipende kuwazarau watu msio wajua. Mimi sija soma ili nifaulu mitihani kama wewe. Nimesoma ili kuelewa vitu na kuvifanyia kazi.

Zaidi hapo chuma kwa kejerumani "Roheisen" (pig ion) inazalishwa kwa njia ya hewa (Oxygen) na ama gesi asilia au oil au makaa ya mawe na sio lazima umeme utumike. Hapa nina maanisha kuna viwanda ambavyo vinatumia process ya electrolytes kuproduce chuma ni ile chuma itwayo steel. Kuna aina nyingi sana za steel kulingana na matumizi yake.

Sasa turudi kwenye mada. Sikiliza msomi wetu, mimi kusema ule ukweli sielewi tatizo lako la ufahamu wa biashara ya chuma upo wapi? Kabla hatujalizungumzia swala la usafirishaji wa products zinazo tokana na chuma kwanza kabisa ulitakiwa ujue chuma ikitengenezwa ina kuwa katika forms gani.

Kujibu swali lako kuhusu swala la usafirishaji wa tonnes za chuma mbona ni kitu rahisi? Hizi nondo zinazo agizwa nchini zina safirishwa na nini kwenda mikoani? Bidhaa zilizo tengenezwa na chuma, I mean Steel, sio lazima zisafirishwe na treni, trucks zinaweza pia fanya kazi hiyo.

Ndiyo treni na reli ni vitu muhimu sana katika Heavy Metal Industries, lakini hata hivyo sioni kama ni kitu kikubwa sana kiasi ambacho nchi yenye chuma (iron ore) nyingi kiasi hicho kama Tanzania ikashindwa weka infrastructure za reli kutoka kiwandani mpaka sehemu tuseme bandari ipo.

Mbali na hayo reli ya kufika mpaka bandarini DSM tayari ipo kinacho takiwa ni kiongezeo tu cha kipande cha reli mpaka kiwandani.

Kuhusu running costs za kuendesha hicho kiwanda, na amount ya products zitakazohitajika kuzalishwa in order to break even? Inategemea na soko jinsi lilivyo na kama ulivyo sema aina na qaulity ya chuma tunayo produce.

Kwa conditions jinsi zilivyo nina uhakika kuwa chuma yetu itaweza ku compete na chuma inayo zalishwa nchi nyingine kama China kwa vitu viwili vikubwa; cha kwanza ni kwamba tuna cheap labor na pili vyanzo vya kutuwezesha sisi kuproduce umeme mwingi wa ku feed hicho kiwanda vipo, hivyo ambavyo nimevitaja hapo juu kama makaa ya mawe na gesi asilia amabvyo pia havita gharimu pesa nyingi kuvi utilize.

Kuhusu Dangote naweza sema kuwa baadhi ya watanzania na hata wizara ilitumika kumfanyia uhuni tu aanguke kwa sababu ya kuhofia kuua viwanda vilivyopo vya simenti kwa competitiveness ya product yake ukilinganisha na products za wazalishaji wengine kwenye bei. Lakini Rais alipoamua kuwa achimbe mwenyewe makaa ya mawe, naona mambo yameenda vizuri?

Na huu ndio upumbavu wa sisi watanzania tunaoufanya ambao nyie wakamba mlitakiwa kuukemea. Watanzania wanamtindo wa kuwakatisha tamaa wawekezaji kwa kutaka kupata faida kubwa ya mara moja kutoka kwa wawekezaji. Alafu wawekezaji wakishindwa na conditions tunazo wawekea, wakoma wa hii nchi badala ya kuyakemea hayo majitu yanayo fanya ujinga huo, wao ndiyo kwanza wanamtupia Magufuli lawama ya kwamba serikali yake inafukuza wawekezaji. Watanzania ni mijitu mijinga sana.

Sie kweli kwamba dunia ina ugomvi na China kutokana na cheap export ya chuma chake bali wachina wanautumia vibaya utajiri wao walio upata. Wachina wana lengo la kutaka kuutawala ulimwengu na kuua bishara zote zinazo fanywa na mataifa mengine, kitu ambacho hakuna taifa liko tayari kukubali dhamira mbovu ya namna hiyo. Ni nyie wakoma wa kiafrika ndiyo mnashangilia uzandiki wa namna hiyo. Kwa sababu hamwelewi vitu na hamtaki kusoma habari za nje. Mmeng'ang'ana sana na habari za udaku za nchini na za uchochezi za BBC, VOA, DW na Al Jaseera. Fungueni macho na tembeeni.

Kama haitoshi makampuni mengi ya china yana compete na makampuni ya nje kwa sababu serikali yao ina wapa Subvention wakati viwanda na makampuni mengi ya kigeni yanajitegemea yenyewe. Hayapati kubebwa kiasi kikubwa namna hiyo kama serikali ya China inavyo fanya kwa makampuni yake.

Zaidi ya hayo chukua kampuni kama hili la kutengeneza smart phones la HUAWEI, wewe unafikiri linauwezo gani wa kusambaza 5G technology network uliwenguni bila serikali kuishika mkono?

Ningekushauri kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kuleta theories zako za vyuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…