Rais Magufuli kuondoka kama Che Guevara

Unaweza kusema yote lakini usijivike uwendawazimu wa kuamini nchi inasonga mbele. Tumerudi nyuma karibu kwa kila kitu.
Tumerudi nyuma mpaka mwaka 1944, vita ya pili ya Dunia, yaani rais ajaye mpaka atufikishe maendeleo na ustarabu tuliokuwa nao mwaka 2014 itrakuwa ni zaidi ya miaka 50 ijayo kisa msukuma mmoja tu hivi
 
Ninachokiamini ni kwamba huyo mshamba atakufa kabla ya 25.12.2019 wala msihangaike nae! pamoja na makomandoo wake wa kukodi na platoon ya wachawi anaozunguka nao nchi nzima hawatazuia kifo chake huyo shetani!
Hata Mimi nimeiona hii kwenye ripoti za siri za CIA
 
Hii stori kuhusu Guevara imejaa misconceptions kibao ... Mwandishi una upeo mdogo sana.. Hujui ukiandikacho .. Umekurupuka. Over
 
Ninachokiamini ni kwamba huyo mshamba atakufa kabla ya 25.12.2019 wala msihangaike nae! pamoja na makomandoo wake wa kukodi na platoon ya wachawi anaozunguka nao nchi nzima hawatazuia kifo chake huyo shetani!
Tarehe ya kifo? Mhuuuu nani huyo ? Una mawasiliano na malaika mtowa roho?
 
Tanzania hakuna wapinzani kuna wapiga ruzuku na wapiga kelele tu
 
Wapumbavu ni wengi sanaaaa, ukisoma comments ndo utashangaa
 
Sankara alikuwa dictator?
 
Mleta mada ukiachika nakuoa uje unipigie stories
 
Unaweza kusema yote lakini usijivike uwendawazimu wa kuamini nchi inasonga mbele. Tumerudi nyuma karibu kwa kila kitu.
Tumerudi nyuma mpaka mwaka 1944, vita ya pili ya Dunia, yaani rais ajaye mpaka atufikishe maendeleo na ustarabu tuliokuwa nao mwaka 2014 itrakuwa ni zaidi ya miaka 50 ijayo kisa msukuma mmoja tu hivi
 
We dada nina wasiwasi na Elimu yako
nimesoma shule ya kata, nimefaulu la saba, form four nimesoma MEMKWA, sasa niajisomea chuo na kupata uhakimu kabla ya kuwa msajili wa mahakama kuu na jaji
 
Eti eee
 
Magufuli mwana wa Africa, mzalendo wa kweli aliyekuja wakati sahihi kuikomboa Tanzania.
Kama kichwa chako hakijajazwa kinyesi badala ya ubongo, basi unatakiwa umwone daktari akufanyie uchunguzi wa kina kujua una midudu ganikichwani mwako!!!
 
Mohamed morsi hakuwa dikteta
 
Pia Sankara hakuondoka kwa aibu. Alitawala muda mfupi pale Burkina Faso alipinduliwa na rafiki aliyekuwa ameoa Mtoto Felix boigny ambaye ndiye alikja kuondoka kwa maasi ya umma. Sankara usimuweke kundi LA waovu. Blaise compaore ndiye rafiki yake kipenzi makamu wake aliyewakilishaaslahi ya mabeberu. That was a point of correction.
 
Tz tuna bahati mbaya sana licha ya utajir tulio nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…