Rais Magufuli kuondoka kama Che Guevara

Che Guevara gani unaemuweka kundi moja na akina Jiwe na hayo matakataka mengine ya udikteta? Labda uliyemuumba wewe.
Tunaemjuwa ni yule aliyepinga ubeberu popote ulipo mpaka huku Afrika. Aliyetoa mpaka uhai wake kupigania wanaokandamizwa. Nenda kasome kwa umakini zaidi itakusaidia.
 

Yaani wewe akili zako ziko kwa nyuma... Siku zikiwa kwa mbele utang'amua kuwa yote uloandika hapo ni uongo uliolishwa huku nyuma ya mapazia yanafanyika mazito!
 
Che Guevara alikua kiongozi wa taifa gani?!
Na mimi nashangaa. Che Ernesto Guevara alikuwa ni mwanamapinduzi na hakuwahi kushika nyadhifa ya kuiongoza nchi yoyote kama raisi. Japo alishawahi shika nafasi za juu kama uwaziri kwenye serikali ya Cuba ila kwa mapenzi yake mwenyewe aliacha nafasi hiyo na kuendelea toa support kwa wapigania uhuru kwingine duniani, hasa Amerika ya Kusini/Latin America
 
Kama mzalendo mbona anaogopa CAG.?
 
Si muda mtaanza kukufuru mkisema alitabiriwa na mitume na manabii wapiga zumari na vinubi sijui huwa mna akili gani
 
Kama mzalendo mbona anaogopa CAG.?
Ukiona mtu analazimisha kutambulika kwa jambo fulani ujue ni dhaifu.
1. nyerere: hakuwahi kutaka kutambulika zaidi ya kuitwa ,\mwalimu.
Mwinyi na mkapa the same,

kikwete ndio kabisaa, ila JIWE anataka kila kitu iwe yeye, na bado hamna kitu
 
Thomas Sankara alikuwa Dikteta? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Stop this nonsense. Stop degrading Che by even comparing Magufuli with him. People like you have no idea what Che stood for. Stop this nonsense. Praise your president all you like but stop with the delusions.

I see people wear Commandante Ernesto Che Guevara Tshits, caps and put his posters on their cars and I ask myself......Do they really know who this man was? His ideas...what he stood and die for...

That man first of all was a doctor from Argentine and could have lived a comfortable life as a doctor and fend for his family BUT he stood up and made motorcycle trip arround South America.

Seeing how poverty degrade human and how poor leadership failed to provide for it's citizen Che's ideas and life changed forever.....

He end up in Guatemala, met Fidel Castro .....then spend the whole night listening to what Fidel was fighting for and understood him.

They left Guatemala and set a camp in Mexico (mekiko)....After that sail to Cuba onboard Granma.....Che was initially the outfit doctor but having seeing his fellow Comrades fall in combat, he pick up the gun and the rest is history.......

Do people even realize at one point Che visit Dar es salaam....met with various freedom fighters as Dar was a headquarter for freedom Fighters from Southern Africa?????

He even met the late Kabila and made a Journey to Congo DRC to join Guerrillas there but later disqualified them as just drunkards and people who are after women with no clear political agenda.....

He then left for Bolivia where Gringos (America) or Yankees as South Americans like to call them formed a Special force purposely trained for killing Comrade Che and it did just that....

The man gave up his Country,his career as a Medical doctor and his life for others.......

How do even start to compare this man with some African politicians.......wachumia tumbo???????

Let Che be Che and His Excellency our President be himself......

Adios
 
Unamsema Guevara?

Wewe ni nani hara midomo yako itoshe kumzungumzia huyu meamba?
 
Hata Freeman Mbowe kuondoka hivyo hivyo.

Dikteta wa uenyekiti wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…