Rais Magufuli kuondoka kama Che Guevara

Morsi alikuwa dikteta?????


Muelezeee kidogo huyu Mtu
 
jaji mfawidhi kumbe sometimes unaandika nyuzi zenye hoja nyepesi kiasi hiki, zenye hoja "mtetea" kama wale kuku wa kisasa
 
Hahahaha!! Huyo jamaa tangu jana nimefuatilia komenti zake naumia sana CHADEMA kujitoa jaribu kufuatilia komenti zake utacheka mkuu
[emoji23]nimemfuatilia, yeye ni kama vile yupo humu jf kwa sababu ya magufuli
Masaa 24 ni kumsifia tu magufuli
 
Sifa kuu ya Watanzania ni Ubishi usio na fact, any revolution requires through going certain changes, mafanikio pia hayaji bila kupitia wakati mgumu, there is no sweet without sweat, misemo yooote hii mliisoma tu kupass Kiswahili au??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…