Rais Magufuli, mambo unayoyafanya yatadumu?

Tru
Tanzania ikiwa nchi ya marais waislam wana wa bongo huwa wanakula sana maisha, hawa wakristu wakatoliki sijui wana shida gani ?
Kazi yao kubwa ni kubaini na kuharibia watu maisha ndio sera zao kuu.
True tatizo ni unafiki wa viongozi wa dini wa Kikristo kutosimamia kweli.Check hata 90% ya madikteta wote ni Wakristo.
 
Mkuu me nadhani inawezekana kama angetengeneza Mfumo imara!
Ni kweli succession plan ni muhimu lakini mfumo imara ni muhimu zaidi!

Nasema mfumo imara, kwakuwa sisi binadamu tunapita lakini mifumo hubaki! na ukishakuwa na mfumo imara ni rahisi kuenenda na dira ya taifa.
 
Tatizo la rushwa halitaisha kama sisi wenyewe hatutaacha kutoa
Una bargain kabisa utatoa ngapi
 
JPM ameanzisha mifumo mingi sana ambayo inazuia upigaji na Ufanisi wa kazi umeongezeka sana, mimi kwa upande wangu JPM bado ni Mtu muhimu kuendelea kutawala
 
Lazima uwe mjinga hasa kuamini kuwa rushwa imepungua awamu hii. Kilichopo ni kwamba walaji wa rushwa wamebadilishwa. Wamewekwa walaji rushwa wapya.

Nenda kwenye ofisi kubwa za umma, uwe unataka permits ndiyo utajua. Ni wachache sana walio waadilifu, nao ni kutokana na asili yao lakini siyo kitokana na mfumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…