johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mara corona haipo mara mnapigiana simu mnatiana amani,which is which kwanza hapa mtaani watu wamechanganyikiwa je corona ipo au haipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini na wapi Rais kasema corona haipo?Mara corona haipo mara mnapigiana simu mnatiana amani,which is which kwanza hapa mtaani watu wamechanganyikiwa je corona ipo au haipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kuambiwa changanya na yako ila CORONA ipo na inaua chukua tahadhaliMara corona haipo mara mnapigiana simu mnatiana amani,which is which kwanza hapa mtaani watu wamechanganyikiwa je corona ipo au haipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hao waliojifungia chato wanaogopa nini?Kuna wabunge wengine wamejifungia Ndani wanaogopa corona
Sisi wapiga kura wao tunakata mitaa kutafuta riziki
Pia mbunge wa zamani wa chatoKuna wabunge wengine wamejifungia Ndani wanaogopa corona
Sisi wapiga kura wao tunakata mitaa kutafuta riziki
Kuna Rais tokea Corona imeingia ameenda kujificha Chato kijijini kwao alikozaliwa huku akiendelea kulamba posho za safari kama kawaida!Kuna wabunge wengine wamejifungia Ndani wanaogopa corona
Sisi wapiga kura wao tunakata mitaa kutafuta riziki
Za kuambiwa changanya na zako,mambieni arudi ikulu maisha yaendelee kama kawaida!Sio nyie pigeni kazi huku yeye kajificha!Wewe jifungie km wabunge wako walivyo jifungie
Sisi Watanzania tuliowengi tunamsikiliza Rais wetu