Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Leo mkuu si u anamuona mnyika hapo amekaa na alichaguliwa mwaka jana mwishoni (2019) kipindi ambacho lissu hakuwepo. Ingekuwa sio ya leo nafasi yake angekaa mashinjiPicha ya leo hiyo?
Hakuna hata distancing ya maana [emoji1]
Hawajielewi hao!
Hivi kipindi kile cha bunge walipogoma kwenda bungeni na kujificha kisa wanaiogopa corona, walijificha wapi?
Amekosea wapi tena mkuuUrais umeshuka thamani sana
Ulitaka wafe kama Ndasa, Lwakatare na Maige? Nyie maccm nahisi kuna muda mnapewa akili labda wakati wa kula na kunya! Mibunge ya CCM imekufa bado unaona Chadema hawakufanya la maana? Trust me utazika mtu ambaye hutarajii!Hawajielewi hao!
Hivi kipindi kile cha bunge walipogoma kwenda bungeni na kujificha kisa wanaiogopa corona, walijificha wapi?
Mnoo mpaka aibu kwakweli, siku zikimbie tu akapumzikeUrais umeshuka thamani sana
We mbwa ujue hata condom hawavai pia..Chadema tuna kikao mkuu, ila hakuna aliyevaaa barakoa. Tumekubali Corona imeishaaView attachment 1525119
Dhumuni la tamasha Hilo ni nini?
Wana mkakati gani na agenda ipi
Mbona Mimi Nliona kama tamasha fulani la bongo fleva...... La wasanii tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Haha hata Zuchu aliitwa Chuchu,mzee aliyeleta jogoo alimpa mama yake,mama samia anampa motisha sababu ni mweupe,aliuliza Jokate mbona haolewi na ni mzuri.Mkuu wetu bila mada ihusuyo kwichi kwichi bado haijawa hotuba.
Unaweza kuta yupo kule kwenye uzi pendwa wa kula kimasihara.
Mungu ibariki Tanzania Yetu.
Anaongoza wananchi na hao ni moja ya hao wananchi!
Post ya JPM nawe unatumia kupandia Juu?Chadema tuna kikao mkuu, ila hakuna aliyevaaa barakoa. Tumekubali Corona imeishaaView attachment 1525119
Chip politik, Watanzania wengi wanateseka hospitali za umma, madawa,vifaa tiba bado mtihani sana, wengi wanapoteza maisha. Natamani aibukie huko pia.
Hata aliyeihadaa mahakama kuwa atakuwa kwenye "lockdown" naye yupo!Hawajielewi hao!
Hivi kipindi kile cha bunge walipogoma kwenda bungeni na kujificha kisa wanaiogopa corona, walijificha wapi?
kalili =kaririHayo umeyakalili
Mnoo mpaka aibu kwakweli, siku zikimbie tu akapumzike
Mbona huulizi Ukimwi... Taifodi..kichocho..n.k ama haya sio magonjwa?Rais anayetoa maelekezo kwa RMO wote wasi report any Covid-19 case in their respective regions unategemea Nini?Na uki report tu huna kazi..... purely dictatorship type of ruling!!!
Hivo hawezi kuboresha chochote kwene Afya zaidi ya kujenga majengo kujifurahisha!!
Jiwe anafikiri majengo ya Afya bila ya kuajiri madaktari, Vifaa Tiba na madawa keshamaliza kazi..... Absurdity!!!_
MitiNia ya mkutano huo ni nini hasa au kupiga kelele
Hivi hiyo shilole kupigwa ndy girl power, mbona hata makovu hana usoni
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app