Abdalah Abdulrahman
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 222
- 202
Vp km anaweza kutoa ushahidi bila kukamatwa, unamruhusu kuutoa?mr return, kama wewe unajua kuwa wao ndo wanahusika inabidi ukamatwe ili ukatoe ushahidi pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mwingine ni Zakaria!Chapa risasi mpaka watu wanagugumia kwa maumivu na sauti zikiwatoka,sisi ni TISS!!!!ShubaamitikengeMfano ni CAG bwashee mrangi......hapo Ufipa mkishirikiana na Zitto mkazusha kapotea kumbe anakula tende huko Kisarawe!
Hata mimi nawashangaa hao TISS,Zakaria asingejihami sasa hivi angekuwa hajulikani alipo!!Kazi ya kukamata watuhumiwa ni kazi ya polisi na si TISS kwa mujibu wa katiba ya JMT!Sasa ni vema raia wakajihami kwa kumiliki silaha na kuwa standby muda wote kama alivyofanya Zakaria!Well said my beloved president, sasa watakoma watakaoendelea kuhusianisha kupotea kwa watu na vyombo vya usalama!. Maana hadi inakera, usalama gani ambao wana kazi ya kuteka watu wao kila siku!!. Yaani badala ya kuwalinda wawateke, kweli!?
Sasa katika harakati za kumtoa unaweza jikuta uko behind bars...
Si ndio ukatoe ushahidi, hili ndilo linalotakiwa kwa sasaMmeibuka kama mapunguani kushingilia maagizo ya kipuuzi Kama haya? Roma, Mdude, Mo, Azory, Lissu, Ben walikuwa kwa hawala zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaboa kwakuwa anasema usichopenda kusikia!Yeah I agree with you 100%
Vyombo vikichafuliwa vinahitaji kusafishwa siyo kuvificha.Hapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Nadhani bwana mkubwa hajui ali kula kiapo gani wakati ana ingia Ikulu. Bado ana ongea kama waziri wa ujenzi na sio kiongozi wa nchi alie apa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi na raia wake..Kutisha watu sio suluhisho dawa hapa ni kutafuta Kwanini usalama wa Taifa unahusishwa na maswala hayo ya utekaji?
Mtu akipotea vyombo vya dola vikipata habari vifuatilie haraka na kutoa taarifa kwa wahusikaNi sahihi lakini vyombo vya dola vifanyie kazi wanaodaiwa kupotea haraka ili watu wasifikirie vibaya
Sasa hizi sarakasi zote bado jiwe hataki watu wahoji?..Mwanaharakati Mdude Nyagali amefungua kesi dhidi ya maofisa wa polisi waliomteka na kumtesa.
..Mdude ameweza kuwatambua maofisa hao kwa majina na force number zao.
..Pia alipeleka malalamiko yake Tume ya haki za binaadamu, lakini tume hiyo imekuwa ikikwepa kufanyia kazi malalamiko ya Mdude.