Huyu mtu lilikuwa kosa kubwa Sana kumpa madaraka makubwa
Inamaana Tz imekuwa kama South africa ya makaburu. Nasikia palikuwa na jengo linaitwa Janvorsters Square sasa hivi ni Jo burg central police. Jamaa walikuwa na kitengo kinaitwa special branch, ilikuwa ukidakwa hauonekani tena. Sasa na wewe unatutisha sasaUnatukana ukiwa umejificha nyuma ya keyboard! Angalie usije ukapotea halafu uanze kusingizia kuwa ni TISS kumbe ni sisi wanaume wa shoka tulioapa kumlinda Rais wetu kipenzi
Hutishwi ukitenda kosa si lazima ushitakiwe? Sasa unaogopa nini kushitakiwa?Inamaana Tz imekuwa kama South africa ya makaburu. Nasikia palikuwa na jengo linaitwa Janvorsters Square sasa hivi ni Jo burg central police. Jamaa walikuwa na kitengo kinaitwa special branch, ilikuwa ukidakwa hauonekani tena. Sasa na wewe unatutisha sasa
Mheshimiwa Rais yupo sahihi naunga mkono
Kweli kabisa Kiongozi maana Saanane na Azoli bado wapo offline wakifika maeneo ya network wata-beep mkuuNi sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ushaambiwa yupo kwa mchepuko,,, mzee wenu dishi limeyumba sijuiAseme alipo Ben Saanane
Mbona ni polisi wenyewe ndio hutwambia wananchi kwamba wasiojulikana ndio wamefanya uhalifu? Utasikia kamanda akisema " Amepigwa risasi na watu wasiojulikana". Sasa kwa nini lawama tupewe sisi tunaopewa tu taarifa kwamba wasiojulikana wamefanya yao?Hapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Sidhani kama umenielewa mkuu.tatizo la nchi siyo chadema.
tatizo ni viwanda alivyoahidi magufuli na hajajenga hata kimoja.
go back to your senses and stop blaming chadema for your failures.
tundu lisuHii imekuwa njia ya sasa ya kina Zitto kuichafua Serikali. Mfano ishu ya CAG.
Sent using Jamii Forums mobile app