Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Mwenzako akishikwa tako ni rahis kufurahi kuliko ukishikwa ww
 
Mwenzako akishikwa tako ni rahis kufurahi kuliko ukishikwa ww
 
Kama ni hivyo nami nashauri watanzania tujihami na hao watekaji kwa kupiga yowe la majambazi ili hata kama ni vyombo vya usalama basi wakaendeleze utekaji peponi. Zakaria was very right to shoot them. Wananchi walitakiwa wawaponde mawe
Angalau tukio hili la Zakaria kule Tarime, na pia la Nape Dar yanathibitisha Ni kina Nani watekaji na wauaji..

Ameongelea watekaji tuu, mbona hazungumzii wauaji Kama wale waliotaka kuua TL ??!
 
Hslafu mlivyo mazuzu uchaguzi mkuu mnamchagua,, jaman nyi watanzania lol
 
Abdalah Abdulrahman,
Polisi wangefanya hivyo usemavyo Jiwe angejipatia umaarufu haraka kwa kuwashushua kama alivyofanya issue ya MO aliposema watanzania sio wajinga
 
Wenyewe mashhabiki wa utawala huu wanaelewa eti
 
Siku mtu Fulani akiondoka humu duniani tbl rekodini mauzo yenu hamtaamini.
Naunga mkono hoja. Sijui ikitokea (nahisi lipo njiani) halafu inikute sina fedha sijui nikamkope nani. Siku hiyo ugimbi hadi lukela
 
Watu hawasemi haya bure bure.

Tuanze na kesi ya Dr Ulimboka. Jamaa alitekwa na akateswa sana, na waliomtia kwenye mtego aliwataja kwa majina hadi namba zao za simu, wako state house. Nini kilifanyika kutatua huu uhalifu?

Vipi kuhusu Ben Saanane. Mara ya mwisho alisema amepigiwa simu ameitwa na mtu, hajaonekana mpaka leo! Uchunguzi umefika wapi? Kama mmekwama, wenzenu huwa wanaomba msaada kwa wananchi. Nyie kimya.

Vipi kuhusu Azory, mmefanya juhudi gani mpaka sasa? Mkewe amesema walikuja watu kumchukua wakiwa na gari. Mmefanya juhudi gani kuchunguza, waziri anakuja kuleta kejeri, mwingine anasema disappeared and died.

Lissu alilalamika mpaka akatoa aina na namba za gari zinazomfuatilia. Amepigwa risasi kwenye nyumba za serikali, uchunguzi umefika wapi? Taarifa za gari lilikuwa linamfuatilia zimefikia wapi?

Vipi kuhusu mwenyekiti wa halmashauri Kigoma, alipotelea kwenye ofisi ya halmashauri. Nini kimefanyika so far.

Vipi kuhusu Lwajabe, na kifo cha utata? Vipi kuhusu Zakaria wa Mara.

Serikali inapaswa kujua, nature abhors vacuum!

Kunapotokea mambo, halafu kukawa hakuna majibu, watu watajaza wenyewe. Na wasilaumiwe wakifanya hivyo. Haiwezekani visa vya ajabu ajabu vinawakuta watu wa kundi moja: wakosoaji wa serikali.
 
Hutishwi ukitenda kosa si lazima ushitakiwe? Sasa unaogopa nini kushitakiwa?
We mjinga watu hawaogopi kushtakiwa watu wanatekwa Sasa huoni tofauti ya kushtakiwa na kutekwa?
 
Sijaelewa juu ya koti moja
 
Nime ipenda hii hadithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…