Upo sahihi kaka, huyo ni Ndashau Prof. (Economist)Umekurupuka kama umekosa majani ya kujifukiza. Huyo siyo Magufuli, ni Prof. Michael Ndashau (Economics) pale UDSM. Mwalimu wake Mwigulu since wayback!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Dr Kailima Ramadhani kweli ?Umekurupuka kama umekosa majani ya kujifukiza. Huyo siyo Magufuli, ni Prof. Michael Ndashau (Economics) pale UDSM. Mwalimu wake Mwigulu since wayback!!
Sent using Jamii Forums mobile app