Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nimehama Dar es Salaam nimekuja kukaa Dodoma Maisha yangu yote

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
Wapwa

Mgombea Urais wa CCM akiwa njiani kwenye kampeni zake zinazoendelea leo huko Dodoma, amewaambia Wananchi wamchague, maana amepanga Dodoma iwe jiji kubwa kuliko majiji mengine yote, na ndio maana alihama Dar es Salaam, ili aje kukaa Dodoma maisha yake yote.

Kamalizia kwa kuwaomba kura Watanzania wa vyama vyote kama ilivyo ada yake

Haki huinua Taifa
 
Kwa hiyo Chato inakuwaje tena .....!! Huu utani tani wa kina Ndugai inaweza kuwa kweli ......!!
 
Back
Top Bottom