dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Ni dhahiri shairi gonjwa la Corona halijapatiwa tiba wala chanjo, kwa mantiki kama hii inavyoonesha Corona si ya kuisha leo wala leo.
Ruhusu programu za kielimu ziendelee, kwani inaonekana hili gonjwa tunaishi nalo kama magonjwa mengine. Kwakuwa kabla ya kufunga shule mgonjwa alikuwa mmoja hivi sasa tunawagonjwa zaidi ya mia nne.
Tulitegemea number ipungue lakini inazidi kuongezeka tu.