Rais Magufuli shujaa wa Kiswahili hakuna ubishi

Anapenda kiswahili sema lafudhi yake ya Kisukuma ndio inamwangusha.
Siyo kwamba anakipenda kiswahili. Baada ya kuona cha malkia hakipandi akaamua kujifanya anakipenda Sana kiswahili kama chaka la kufichia udhaifu wake.
 
mzungu akija kujifunza kiswahili na akakijua hata kidogo hawezi kukichanganya na maneno ya kingereza(akili mkichwa)
 
Anakipambania kivipi? Hebu tuwekee ushahidi husika wa kuonyesha juhudi zake za kukipambania Kiswahili? Na unakipambaniaje kitu wakati wewe mwenyewe hutafuti muda wa kujifunza ili ukijue vizuri? 😳😳😳
Rejea maelezo ya uzi
 
🤔🤣🤣
 
Siyo kwamba anakipenda kiswahili. Baada ya kuona cha malkia hakipandi akaamua kujifanya anakipenda Sana kiswahili kama chaka la kufichia udhaifu wake.
Hilo halina ubishi Mkuu. Funika kombe mwanaharam apite.
 
Nimependa sana anavyojiamini, hata akiwa na mgeni badala ya kuwa mtumwa wa lugha amekuwa shujaa wetu.

Jiwe ameanza kukishabikia kiswahili baada ya kukosolewa kuwa Kingereza hakimudu, akaona isiwe shari ndio akaanza kuzungumza hata kisukuma kwenye mikutano!!! Hashabikii kiswahili kwa uzalendo bali kwa mapungufu yake kwenye lugha za kutoka ughaibuni!!!
 
Salamu zimfikie prof Ndalichako, kile kiingereza cha kumhoji mkarandarasi kilitudhalilisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…