Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Mar 5, 2018 #1 Salaam sana Mhe. Rais, Mwanzoni haikuwa inapita muda mrefu kama sasa bila kupiga simu. - Siku hizi umekuwa kimya sana, hupigi simu mpaka hatuelewi.
Salaam sana Mhe. Rais, Mwanzoni haikuwa inapita muda mrefu kama sasa bila kupiga simu. - Siku hizi umekuwa kimya sana, hupigi simu mpaka hatuelewi.
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,801 Reaction score 6,806 Mar 5, 2018 #2 Yule chakubanga naniliu sijjui baba yake amegundua nini wakati analia shida maana namsomaga humu jf. Anyway ache ajipendekeze kama jeri muro au la si hivyo atakuwa sio mtz
Yule chakubanga naniliu sijjui baba yake amegundua nini wakati analia shida maana namsomaga humu jf. Anyway ache ajipendekeze kama jeri muro au la si hivyo atakuwa sio mtz
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,829 Reaction score 4,614 Mar 5, 2018 #3 Wasafi tv
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,755 Reaction score 9,889 Mar 5, 2018 #4 Kwani Baby Kabae amerudi kutangaza hicho kipindi.? maana 'wengi' wameenda 'kumuunga' mkono kule wasafi tv
Kwani Baby Kabae amerudi kutangaza hicho kipindi.? maana 'wengi' wameenda 'kumuunga' mkono kule wasafi tv
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,065 Reaction score 18,358 Mar 5, 2018 #5 Heller said: Kwani Baby Kabae amerudi kutangaza hicho kipindi.? maana 'wengi' wameenda 'kumuunga' mkono kule wasafi tv Click to expand... Lini kaenda huko wasafi TV?
Heller said: Kwani Baby Kabae amerudi kutangaza hicho kipindi.? maana 'wengi' wameenda 'kumuunga' mkono kule wasafi tv Click to expand... Lini kaenda huko wasafi TV?
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 May 27, 2020 Thread starter #6 Mbwembwe za Awamu ya Tano
Lakunle JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 635 Reaction score 586 May 28, 2020 #7 Wapambane tu sasa wamepoteza dira toka master mind waiting afe
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 May 28, 2020 #8 Clouds wamefulia