Rais Magufuli stuka, wenzako wanakung'ong'a kwa sifa, sifa zao ni dhihaka kwako wakataze

Aya vizuri ila najua wanatetea matumbo yao tuu hamna kingine.
 

JPM hajawahi kustuka na sifa za maneno. Nyie ndo mnapenda kuweka akili zenu mkidhani mnamjua sana. Cha ajabu hamuwezi kuunganisha dots na kutafuta at least 20% ya mawazo yake. Angalia mishahara. Wafanyakazi hewa. Majanga nk. Nyie mnasema. Yeye huyoooo.
 
Mswalie Mtume wewe binti! Huku unakoelekea utamkana muumba wako ili kumtukuza na kumwabudu mwanadamu badala ya Mola wako! Acha unafiq na mrejelee Mola akinusuru!
Webwana unafiki unao ww
nimesema akienda kwa muumba
hapo Muba nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…