technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kuhamisha serikali kumekatazwa kikatiba ?
Aaijipe moyo, sheria si zinatungwa tu kubadili sheria zilizopita?Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
TUMEHAMA,Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Mara hii ameshaanza kupambana na kumkosoa rais ajaye kabla hata yeye mwenyewe hajaondoka madarakani na hatujui huyo ajaye atakuwaje?Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Nadhani hujamuelewa rais. Pole sana.
Nyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Akikaa dodoma mwaka mzima bila kurudi magogon ndio ntaamini
Tech, take home msg ya hotuba yake hiyo ni moja: ni kuwa anaju kuwa "upuuzi" wote anaoufanya akija mwenye akili atavifuta vyote... sheria zote alizozitunga, badilisha, ddm, etc etc etc! Thank god he knows the after effects/aftermath of his deeds!Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Biashara ya walio wengi kwenye the so called democracy ni hela hizo zinazoingizwa kwenye siasa. Hela za bure. Hazina kutolea jashoHii sio habari nzuri kwa wale wezi wa ruzuku miaka 20hata kiwanda hawana na ndio chama kinakwenda kufa 2020
State agent