Wapinzani wanasemaje?
Sasa hapo unataka pc gani pc ya kalio au?si unalo jiangalie.habari bila picha hainogi.weka weka mapicha sisi wavivu tusome.
Wanasema wewe zwazwaWapinzani wanasemaje?
Inakuwa ikulu ndogo hiyoakiweza kubakia Dodoma hadi 2025 basi mifumo yote ya kiserikali itaimarika hukohuko Dodoma, na mrithi wake ataona aibu kurudi magogoni.
pia kama vipi magogoni igeuzwe kuwa 'museam'
Ahahahaaaaa mkuu nikuulize swali?Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
basi mrithi wake ataweza kubadilisha sheria na kurudi dar hiyo 2026.Inakuwa ikulu ndogo hiyo
Kumbe jf bado kuna watu wapumbafu kama weweNyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Wauziwe wawekezaji wajenge mahoteli na maofisi hatuwezi kuwa na ikulu mbiliakiweza kubakia Dodoma hadi 2025 basi mifumo yote ya kiserikali itaimarika hukohuko Dodoma, na mrithi wake ataona aibu kurudi magogoni.
pia kama vipi magogoni igeuzwe kuwa 'museam'
Atakaa wapi akiamua kupabomoa na kumuuzia mwekezaji jebasi mrithi wake ataweza kubadilisha sheria na kurudi dar hiyo 2026.
Hapo kwenye red,Kuhama,Nahamia.Ninachokisema hapa najua wapo watakao Ds ila kiukweli jaman naomba niseme kweli yani Mh Rais Magufuli anastaili Pongezi za dhati sanaa.
Si kazi nyepesi mtu kuweza kuama mkoa kama Dar mzee ukaamia mkoa kama Dodoma hasa kwa watu ambao tumekulia Dar tunaelewa.
Nakumbuka Rais mstafu alivyo stafu siku moja alimua kwenda kijijini kwao bahati mbaya sanaa alikutana na mvua weeee ilo Tope na udongo wa kuteleza wa msata, yani jamaa yangu alisubuli mvua ikauke alirudi mjini fasta pale mtaa wa jakaya.
Mimi nasema hata ingelikuwa mimi nisingeweza kubali kuama mjini hapa heti naamia kijijini Dodoma yani niache kuona watoto wkali pale magogoni niende dodo nikaonane na wajomba zake ndugai walio jaa ukoma?
Nisingeenda na nina uhakika Rais ajae atalaani sanaaa maamuzi ya kumtoa dar kumpleka dodoma.kweli wewe jamaa hujfata Bata ikulu ila umenikomeshea wana wengi hasa wa geti jeusi kuna mmoja nilikuwa kila siku namshusha hapo getini mwa jumba jeupe jamaa alikuwa anajiona kama yy ndo rais kudadeki sasahiv yuko Dodoma.
Dodoma hata uifnanyeje baba utaicha ulivyoikuta mkoa unalaana huo ndio maana hautoi hata viongozi makini wtu wa huko ni omba omba tu.
Katiba mbona inavunjwa kila siku mwache ajaye naye aje aikanyage ili ipatikane nyingine hi imejaa virakaAnasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Dodoma ni salama zaidi ni ngome ya ccm hakuna hofu ya maandamano kule hata akikaa miaka 30 ni shwali tuNyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni