Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

Akikaa dodoma mwaka mzima bila kurudi magogon ndio ntaamini
Atakaa maana safari hii ameenda kwa njia ya barabara kutoka dar hadi Dodoma bila shaka na mikoba yote ilihamishwa
 
Ni wakati sasa kuhakikisha TBC1 Wanahamishia makao makuu yao Dodoma haraka kukwepa gharama maana mzee wa LIVE kesha hama.
Mbona ipo kitambo sana kama sikosei tokea enzi za Mzee Mwinyi TBC walishaga jenga kituo chao na kuna redio kabisa inaitwa Kanda ya kati
 
Acha utoto kwenye mambo ya kitaifa


State agent
Acha ufala mi nimeuliza tu ili wanaojua wajibu
Kama kitu hukielewi ficha ujinga wako,nani kakwambia mimi nimebisha kitu hapo
Jaribu kupunguza kiherehere
 
Amevunja katiba wapi wewe c.hi.zi..hahaha mnakaririshwa na nyie mnameza tu..kwanini msiende mahakamani Kama Kuna kitu Kama hicho..hivi mnadhan Watanzania wooote hatujasoma eeeh...nendeni mkadanganye nchi nyingine sio TZ
 
Mzee huyu mbona anaweweseka sana? Mara ooh, nikitoka atakayekuja ataweza kujenga ndege? Atajenga reli ya bumeme? Atajenga mafulaiova? Yeye aondoke tu turudi alikotukuta!
 
Unalonga chiichi gweegwe?!!!Hivi Wagogo tumekufanya nini kibaya?
 
Tech, take home msg ya hotuba yake hiyo ni moja: ni kuwa anaju kuwa "upuuzi" wote anaoufanya akija mwenye akili atavifuta vyote... sheria zote alizozitunga, badilisha, ddm, etc etc etc! Thank god he knows the after effects/aftermath of his deeds!
Hizo ni ndoto jombaa..labda Kama Watanzania hutawahusisha kwenye maamuzi.. mp.uu.zi ni wewe. Hivi unafikiri hayo ni maamuzi yake au yeye ni msimamizi tu wa utekelezaji..Mambo yapo kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm..Mipango yote imelengwa
 
Nyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Jomba kipindi Cha Nyerere wewe ulikuwa umeshazaliwa au umehadithiwa story..usidandie Mambo usiyoyajua..wewe Kwanza bado mwanafunzi achana na habari hizi za watu wazima
 
Sisi wana Idodomya tunafurahia tu maendeleo kwa kasi. Aje asije hilo watajua wenyewe
 
Kwaiyo wewe unashauri vipi? Unataka nani aje aanzishe labda?

Vichwani mmejaa mitope tu...... Iyo miaka 100 unataka generation ipi ije kuanzisha? familia yako ya tumboni au? Acheni sifa kila kitu kukosoa.

Pumbavu wewe!

Sijakutukana unaanza kunitukana,I should retaliate back you motherfucker!

Kuhamia Dodoma sio msahafu!

Ni Nyerere aliamka kwa hoja zake binafsi kasema mji mkuu Dodoma!

Kinachotakiwa kufanyika,ni kufanya uzalishaji mkubwa kupita maelezo,nchi iuze ijenge uchumi mkubwa zaidi ya Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi,Ethiopia and South Sudan combined!

Then fanya usenge wa kuhamia popote unapopata!

Cha ajabu kuhamia Dodoma ndio priority kuliko uchumi!

Kazi ya uchumi imewashinda mnajipa kazi ya kuhamishia mimeza na mabati kwenda Dodoma as if ina uhusiano wowote na uchumi output!

Wananchi wamechoka wanakula nzi na matakataka,shida yao ni uchumi sio kuhamishia meza kwenye kipande fulani cha ardhi!
 
Wewe ni mavi na kichwani umejaza mimavi....
Shame to you kama unaongoza familia basi weee ni mavi tu...... Mwanaume inabidi uwe na maamuzi mazito,

Acha wanaume tufungue wanao waje kufurahi boya wewe.
 
Dodoma huo mji ulivyo na hali ya hewa mbaya?Ukiondoka nyumbani asubuhi bila kujisiliba na lotion iliyojazwa greaseline lazima ngozi ichanike haswaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni mavi na kichwani umejaza mimavi....
Shame to you kama unaongoza familia basi weee ni mavi tu...... Mwanaume inabidi uwe na maamuzi mazito,

Acha wanaume tufungue wanao waje kufurahi boya wewe.

Sasa mzee

Unalialia na mavi wakati na wewe umeyajaza humo matakoni kama watu wengine!

Au unakunya acid?

2025 anakuja rais mwingine anafuta Dodoma,mkashitaki mnapotaka!

Fvck Dodoma!

Fvck all of you put together!
 
Kesho tu atarudi dar kuendelea na maisha kama kawaida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…