Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,778
- 1,119
Mwanzo wa hesabu ni moja. Hiyo 100 years imeisha anza! Ndio serikali imeisha hamia.Hawezi
Mkuu kujenga mji inachukua one generation,ambayo ni minimum of 100years!
Hawa watu kuna kichaa kimewapanda!
Siku wanarudi na kujua walikua wanaota,itakua ni too late!
Mwanzo wa hesabu ni moja. Hiyo 100 years imeisha anza! Ndio serikali imeisha hamia.
Rais Magufuli: Tumeamia Dodoma moja kwa moja
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Wewe endelea kuota humu jukwaani wakati watu huko field wanapiga kazi.Hawezi
Mkuu kujenga mji inachukua one generation,ambayo ni minimum of 100years!
Hawa watu kuna kichaa kimewapanda!
Siku wanarudi na kujua walikua wanaota,itakua ni too late!
Dodoma panafikika na watu wa mikoa yote kirahisi kulinganisha na Dar.Hili suala la kuhamia Dodoma ni kama Jiwe alikurupuka.Nyerere alitaka kuhamia Dodoma kwa sababu za kiusalama.Miaka ya 70 na 80 ,Tanzania ilikuwa kwenye vita Vya ukombozi,kusini mwa Africa.Mji wa Dar es salaam ulikuwa ni rahisi kushambuliwa na maadui,makaburu wa Afrika kusini na vibaraka wao.Baada ya hilo vuguvugu kwisha miaka ya 90,hakukuwa na sababu tena ya kuhamia Dodoma.
Wewe endelea kuota humu jukwaani wakati watu huko field wanapiga kazi.
Kuhamishia makao makuu Dodoma hata kama kungefanyika mwaka 1972 maamuzi yalipoamuliwa yafanyike bado kungekuwa na gharama kubwa. Ukiangalia sana masuala ya gharama hutafanya lolote maishani.Unajua bajeti ya kuhamishia makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma?
Unaijua bajeti?
Hujui,unaongea tu!
Kuhamishia makao makuu Dodoma hata kama kungefanyika mwaka 1972 maamuzi yalipoamuliwa yafanyike bado kungekuwa na gharama kubwa. Ukiangalia sana masuala ya gharama hutafanya lolote maishani.
Wewe ndiye umejaa blah blah na mapovu. Hauwezi kukwepa gharama maishani.Hujui bajeti!
Bajeti ilitolewa kwenye report ya akina Warioba miaka hiyo!
Hujaisoma,na hujui lolote!
Blah blah blah tu
hahahah!Nyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Wewe ndiye umejaa blah blah na mapovu. Hauwezi kukwepa gharama maishani.
Mkuu Wyatt ndio tumeshahamia Dodoma hivyo, yaliyobakia ni mazungumzo baada ya habari.Umeulizwa swali,hujui,unasema hujui uelekezwe!
Wakati yeye anaandika maoni yake humu jukwaani huko site watu wanaendelea kufungua miradi.Kwaiyo wewe unashauri vipi? Unataka nani aje aanzishe labda?
Vichwani mmejaa mitope tu...... Iyo miaka 100 unataka generation ipi ije kuanzisha? familia yako ya tumboni au? Acheni sifa kila kitu kukosoa.