Rais Magufuli, Tumeiona Ihungo mpya. Jengeni Ihungo nyingine kila mkoa

robinson crusoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
762
Reaction score
1,236
Mh. Rais, Asante kwa ukarabati wa shule ya sekondari Ihungo.

Kiuhalisia huo ni ujenzi mpya. Kwa umuhimu wa elimu na kiasi kikubwa cha wanafunzi ktk sekondari zetu, Nikuombe utumie nguvu yako kujenga shule zingine za aina hii ktk kila mkoa.

Gharama ya Bilioni 10.5. Ukitenga Bilioni 400, zitatuweka kwenye ramani mpya ya shule za sekondari. Bilioni 400 ni kiasi sawa na kile cha Escrow. Kwa makusanyo ya Trilioni 2, hiyo ni sehemu ndogo sana lakini yenye kishindo kikubwa ktk elimu.

Hii itatusaidia kuachana na na tabia ya kukimbilia shule za binafsi kwa ushindi wa division bila kitu vichwani.
 
Kujenga ihungo mpya kila mkoa ni mpaka Chato itakapokuwa jiji au dola kamili.

Fedha zote zinaelekezwa Chato kwa Sasa.
 
Amekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
Weka ushahidi wa wizi wake
 
Amekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ walitoa bil 500 na uingereza
 
Shule za binafsi zimemkosea nini na wote wanafanya kazi moja ya kuisaidia serikali?
 
Kujenga ihungo mpya kila mkoa ni mpaka Chato itakapokuwa jiji au dola kamili.

Fedha zote zinaelekezwa Chato kwa Sasa.
Dola Ya Rumi Ama
๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Amekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
[emoji2][emoji2][emoji2] Nyumbu wa ufipa hamna jema.
 
Kabla ajajenga hizo shule kila mkoa aanze kwanza kubadir mfumo wa elimu yetu kwanza
 
Kamba ile hela zilipigwa kaona aibu atawaambia nn wahaya kaenda na huo uongo wasihoji hela za maafa zililiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ