Rais Magufuli, Tumeiona Ihungo mpya. Jengeni Ihungo nyingine kila mkoa

Amekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
Jinga tu wewe! Tulisikia watu walivyotumbuliwa kwa kufungua akaunti bandia wewe unasema alikula, kula kitu gani.
Mi natamani sana ujenzi wa aina hii kila wilaya kabla hajaondoka madarakani, maana bila usimamizi imara hawa ma-injinia fisi tulionao, watajenga upuuzi tu!
 
Pesa tu
 
Uboreshaji wa Elimu ni kujali maslahi ya mwalimu basi.Hayo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…