Rais Magufuli tunaomba uruhusu OC wajasiliamari tutakufa njaa

Rais Magufuli tunaomba uruhusu OC wajasiliamari tutakufa njaa

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
🙁😡😕

Hii kweli heshima kitaa yaani hazina wamezuia OC watu njaa mtaani halafu supplier unasupply kwa selling price unalipwa baada ya miezi 3 ahahahaa yaani tusiponyooka mwaka huu basi hatutanyooka r.i.p Gypsa ulitusaidia sana JPM kakupenda zaidi hatuna namna
 
Miezi 3 tu halmashauri niliko supplier wanadai zaidi ya 1.5b
 
Tulieni mambo yatakuwa sawa muda si mrefu
 
Back
Top Bottom