ππ‘π
Hii kweli heshima kitaa yaani hazina wamezuia OC watu njaa mtaani halafu supplier unasupply kwa selling price unalipwa baada ya miezi 3 ahahahaa yaani tusiponyooka mwaka huu basi hatutanyooka r.i.p Gypsa ulitusaidia sana JPM kakupenda zaidi hatuna namna