Rais Magufuli umekosea, kutomkemea vikali Kangi Lugola aliyekufananisha na Yesu

Tulia wewe mama,Lugola hajamfananisha JPM na Yesu bali alifanananisha namna anavyotatua kero kwa wananchi papo kwa papo ni sawa na namna Yesu alivyowa anawasaidia wenye shida papo kwa papo.
chagu wa malunde, njoo usome tena maneno yako. Kama unaweza kuomba radhi ruksa. Kama bado unasimama palepale basi yaandike in bold capitals
 
Mystery Asante kwa uzi mzuri sana, lakini hawakukuelewa. Hizo KUFURU za akina Kangi Lugora ambazo hazikukemewa, ndiyo Mungu sasa anatenda. Tumpe muda tu
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Apone Haraka Sana Aje Ashuhudie Mungu Alivyo Mkuu Kuliko Yesu Wa Lugola
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Apone Haraka Sana Aje Ashuhudie Mungu Alivyo Mkuu Kuliko Yesu Wa Lugola
Kwa maisha ambayo Meko amefanya tuishi baada ya kuharibu uchumi kweli tumekuwa vichaa. Lakini huna haki ya kuingilia furaha yetu, kufa kwake ni UHURU wa pili wa Tanzania. Yule ana roho ya Adolph Hitler. Tusipofurahi anapoteseka tutakuwa wanafiki
 

Unajuaje kama huyo mzee anamuamini Yesu ?
Nina mashaka kweli kwa vitendo vyake, kama kweli huyo Jiwe anamuamini huyu Mungu wetu tunayemwamini
 
Hivi yale mashati, bado anayavaa? na ile ilani anatembea nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…