General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ndg itoshe!Toa mfano, mwanasiasa gani kaharibika kwa kujihusisha na simba na yanga.
Tuongee kwa fact sio hisia.
Thibitisha!Jk alijihusisha waziwazi na yanga, mpk alikwenda kuzindua nn sijui
Kumbe Mangi na ww ni pro JPM!Jk alijihusisha waziwazi na yanga, mpk alikwenda kuzindua nn sijui
Leta jina la mwanasiasa aliyeharibiwa na usimba na uyanga wake!Ndg itoshe!
lkn amini usiamini baada ya kesho wanasiasa wataanza kumchongea Mh Rais kwa mashabiki wa upande wa pili.
Kwa faida yako,Kikwete Yanga. Mbowe Yanga.Lowassa Yanga. Mkapa Yanga. Lissu Yanga. Ulishawaona wakitumia siasa ktk mpira?Hao ni wajanja na wanatambua hasara zake.
JPM mwacheni aungane na wananchi kushiriki makabidhiano ya Kombe kwa Timu ya Taifa ya Vijana na SIMBA!! Yeye ni Rais hana mipaka akiwa nchini kwake kushiriki tukio lolote linalohusisha wananchi, Yanga mtulie na mjipange upya, mwaka huu hamna chochote!!!Kwa mapenzi yangu ya dhati kwako na shauli na kuomba zikwepe hizo SIASA za mpira.Zina hasara kubwa kwa upande wa KISIASA!
Ndiyo maana hata Mh Rais mstaafu wa awamu ya nne ndg J.Kikwete alizikwepa.Pamoja na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja.
Jamaa ni wivu wa uyanga unamsumbua..mwigulu kila siku yuko yanga...mbona kuna wanaccm wako simba na wanamkubaliToa mfano, mwanasiasa gani kaharibika kwa kujihusisha na simba na yanga.
Tuongee kwa fact sio hisia.
Sidhan kama ana simile hiyoSiku akirushiwa chupa za mikojo km Mzee mwinyi au akitaniwa matusi ya Simba na yanga asifunge MTU wala kupaniki
Wivu gani?? Hivi mnaijua Namba ya mtani wao.Jamaa ni wivu wa uyanga unamsumbua..mwigulu kila siku yuko yanga...mbona kuna wanaccm wako simba na wanamkubali
Hizi timu kwa nchi yetu ni sehemu ya utani..
Wivu gani?? Hivi mnaijua Namba ya mtani wao.Jamaa ni wivu wa uyanga unamsumbua..mwigulu kila siku yuko yanga...mbona kuna wanaccm wako simba na wanamkubali
Hizi timu kwa nchi yetu ni sehemu ya utani..
Tupe mifano mahali pengine dunia,maana mpira tumeuiga.JPM mwacheni aungane na wananchi kushiriki makabidhiano ya Kombe kwa Timu ya Taifa ya Vijana na SIMBA!! Yeye ni Rais hana mipaka akiwa nchini kwake kushiriki tukio lolote linalohusisha wananchi, Yanga mtulie na mjipange upya, mwaka huu hamna chochote!!!
Tupe mifano mahali pengine dunia,maana mpira tumeuiga.JPM mwacheni aungane na wananchi kushiriki makabidhiano ya Kombe kwa Timu ya Taifa ya Vijana na SIMBA!! Yeye ni Rais hana mipaka akiwa nchini kwake kushiriki tukio lolote linalohusisha wananchi, Yanga mtulie na mjipange upya, mwaka huu hamna chochote!!!
Tatizo lipo katika zoezi lenyewe sio ushabikiLeta jina la mwanasiasa aliyeharibiwa na usimba na uyanga wake!
JPM kukubali mwaliko wa TFF haimaanishi anaenda itumia simba. Acha wivu mkuu. Kina Ridhiwani na Nchemba wamejihusisha na Yanga laivu hadi ktk mechi zao wameenda ila siasani wala haijaleta matatizo. Zito bado anapeta, licha ya yeye kuwa simba damu ila upande wa siasa ana wafuasi wengi ambao kimpira wako yanga.
Hakuna alichozindua ,rudi maktaba.Jk alijihusisha waziwazi na yanga, mpk alikwenda kuzindua nn sijui
Yanga acheni wivu.Tatizo lipo katika zoezi lenyewe sio ushabiki
Umejuaje?Yanga acheni wivu.
Itabidi uanze kumshangilia rais wako akiwakabidhi kombeMbona kesha jiharibia bila hata kuzitumia hizo clubs? Ajiweke pembeni bwana! Simba isijejikuta ina gundu kwenye mashindano yajayo huko mbele