Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.

Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
 
Akamdanganye Jesca asiye na akili akagonga "O" form four
 
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.

Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV

Maendeleo hayana vyama!

..hapo magufuli anacheza defence.

..TL anacheza offence.
 
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.

Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee huyu mzee hapendi mnakompeleka peleka ili aongeze idadi ya watu.
20200905_142635.jpg
 
“Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
#MillardAyoUPDATES
 
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.

Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
It is a pity. My salary is still the same for the past four years.
 
“Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
#MillardAyoUPDATES
KAMLIPA NANI!?
 
Nchi zote walizopandishwa walidai Wafanyakazi wenyewe!
Kama Hamuhitaji Kudai Ndiyo Hivyo Hadi 2025 Na Inaweza Isiwe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Acheni Tujenge Reli Bwana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji12]
 
PAYE ni kitu kimoja na kupandisha mishahara ni kitu kingine!

Kikwete alipunguza PAYE kutoka 18% mwaka 2005 hadi 11% mwaka 2015 lakini pamoja na hayo aliendelea kupandisha mishahara na kulipa malimbikizo ya watumishi wa umma na kutoa maelfu ya ajira kila mwaka!

Magufuli ajipange upya, hivi vitu viwili ni tofauti kabisa!
 
Wafanyakazi mtujibu.

Ni ya kweli asemayo Mafufuli au ni ulaghai.?
 
Back
Top Bottom